Amakalekale
New Member
- Jun 8, 2014
- 1
- 0
Mie ni mgeni hapa-naombeni mnisaidie ushauri.
Nilikua na mwenzangu (mie ni ke),2lifahamiana miaka 8 sasa 2kiwa A'level-mikoa tofaut,hatmae tukaanza chuo na kuanza rasmi mahusiano,nikamaliza kabla ya mwenzangu nkawa mbeya ye Dar-chuo.
Tulisaidiana pale palipohitaji msaada.Nipata kazi private wakati mwingine natoka usiku-nikamweleza mwenzangu hali-akaelewa baadae nikaamua kusoma huku nikifanya kazi,
Alikubali nisome lakini mambo yakabadilika-nature ya kazi na class naingia kumi jioni mpaka saa mbil usiku-alitaka tuwe tunachat usiku mie nikajitahidi kumweleza navokua nimechoka-akadai nimebadilika mwishoe akaniacha.
Ila bado nampenda na tulishatambulishana kwenye familia zetu.
Nifanyeje ndugu zangu?