Huyu mtoto ataniua soon

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
596
180
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja.

Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda.

Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu sababu mtoto nishamzimukia mbaya sasa hivi hata kula siwezi alafu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau?
 
Ulitaka udanganywe ujione mjanja! Sometyms tunachekeana ili tujuane rangi halisi ya ngozi zetu, mwenzio alikuwa ana
tabasam on u, we ukahisi kakuzimikia lakn pole.... uckate tamaa wanawake huwa tunazngua pia.
 
dah asante nnachowaza hapa ni jinsi ya kumtoa akili mwangu maana namuwaza sana
 
think about this......
kuna possibility ya yeye kuachana na huyo jamaa later?yes

kuna possibility ya wewe kumpata baadae? yes....

kuna possibility ya wewe kuwa mchepuko huku huyo jamaa anamiliki? probably yes

why ukose raha sasa?

life has full of possibilities ukitazama vizuri....

kuna possibility ya wewe kumpata mwingine na kumsahau huyo?yes...

its not the end of the world.......
 
Unajua kwenye maisha unatakiwa uwe na major(main) plans na minor plans...shule na mapenzi(kukamua) vyote tunavihitaji...ila in reality shule ndo main na mapenzi ni mainor...so vijana hasa mlioko vyuo au skonga..mnatakiwa mnashughulika na main goals..vingine unaviacha vikikataa vikikubali its okay..yaani inakuwa vp unawekeza kwenye mapenzi unasahau shule( mpaka unataka kufeli mtihani) tena kijana wa kiume..!!?
 
shukrani mkuu
 
mkuu najaribu kuconcetrate kwenye masomo lakini nashindwa yani nashindwa kujicontrol kabisa
 
Una psychological issues zozote? Katika maisha yako umekutana na wazuri wangapi? Una mipango gani na future yako, au unatarajia kuwategemea kina nani endapo utaiharibu?
 
Mie nakuweka kwenye maombi, either ufe ama ufaulu mitihani manake ukishakosa mwelekeo hiyo totoz sahau.
 
Piga buku jamaa yapo makubwa yanakuja au magumu au rahisi zaid!!!!!!
Tunza afya ya akili yako kwa matatizo yajayo hilo limeshapita tayari,maana mpaka athari zake unazijua sasa tena za muda mrefu!!!!!! Kuna shida hapo!!!!?????

Kuna kukosa kazi,kusimamishwa,kutimuliwa, kufiwa na watu wa karibu au unaowategemea haya yakija nitakushauri zaid kwa hili we amua tu kutengeneza life au kuendekeza moyo na matamanio ya akili na mwili!!!!!!!!

Mi nadhani ufeli masomo mawili halafu moja ubebe kabisa then utakuwa umepima vizuri sasa kufeli mapenzi na masomo ipi ni jambo la kupita!!!!!
 
pitbull

Kijana soma kwanza,hata hivyo hakijaharibika kitu wewe endelea tu kumsalimia vizuri iko siku huko aliko kutakorofisha na utakapomsalimia utashangaa anakwambia ni wewe tu hueleweki!kukataliwa na binti ndio uanaume huo!
 
Last edited by a moderator:
Ufeli chuo??...dude be serious...yani uache mambo ya msingi kisa mtu??,,,hehehe nishawahi achwa like a week to UE nilidata kwa kweli but ilinipa nguvu sana kufanya vizuri huo mtihani,nilikuwa nalia na madesa mkononi..
 
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja. Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda. Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu coz mtoto nishamzimukia mbaya saivi hata kula siwezi afu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau..??

unasoma chuo gani?
we mwepesi sana aisee...
 
think about this......
kuna possibility ya yeye kuachana na huyo jamaa later?yes

kuna possibility ya wewe kumpata baadae? yes....

kuna possibility ya wewe kuwa mchepuko huku huyo jamaa anamiliki? probably yes

why ukose raha sasa?

life has full of possibilities ukitazama vizuri....

kuna possibility ya wewe kumpata mwingine na kumsahau huyo?yes...

its not the end of the world.......

Ahahahahahahahaha akili yako huwa inawaza nini?
 
Back
Top Bottom