Logistics
Member
- May 16, 2014
- 56
- 18
Habari zenu mabibi na mabwana.. si hofu kuwa mu wazima wa afya.
jambo hasa lililonileta hapa mbele yenu ni kuhusu hili suala 'najua hii case ni sensitive, naomba twende nayo kwa lengo la kufundishana na si kutukana na kutoleana maneno ya kejeli...'
wakuu, nimekuwa nikjiuliza sana juu ya hawa wanawake waliokeketwa, hivi ni nini hasa kinawafanya kukosa hamu ya kufanya 'mapenzi'?
pili, pia pale wanapokuwa wanafanya mapenzi, kwanini zile ashki ashki za kimahaba wanakuwa hawana kabisa wakuu?..
inasemekana kuwa mwanamke anapokeketwa, sehemu zake za nje katika uzazi ndizo zinazoathirika sana kwa kuwanguliwa na kung'olewa kabisa, je ina maana kuwa hizi ndizo key points za viamshi vya ngono/mapenzi?
je, wanawake waliokeketwa huwa hawana G-SPOT??? kama ipo, kwanini sasa isiwasaidie kupata ashik ashki za kimahaba?
tutajadiliana mengi zaidi kadiri tutakavyojibizana.. karibuni mdahaloni.. ushuhuda wowote juu ya mada unaruhusiwa.