Swali:Oral sex ni safe kweli?How is it safe?amini unawezapata HIV katika process za tendo lenyewe

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,706
Habarini Jamvini leo naomba tulijadili hili suala ikiwezekana tutumie experience,skills na knowledge zote unazozijua kutuhabarisha kwa kufanya hivyo inawezekana ukasevu maelfu ya watu watakaona point yako au hata wakabadilisha life style ya sanaa ya 6x6

Back to the point ,Oral sex ambayo naiweka kwenye category ya kujamiana kama njia kuu ya maambukizi ya VVU , ni sehemu tu au foreplay kabla ya tukio(process) au inaweza ikajitosheleza kwa kumridhisha mpenzi wako vijana wengi wa mjini wanaita Romance(kupasha moto a k a maandalizi) hii inategemea mtu na mtu ni pamoja na
1.Blowjobs(wadada wa ku rap-washika maiki-mic)
2.Deep kiss(French kiss)
3.Chumvini(kuzama mgodini) -Licking ,sucking (even lesbian belongs here)etc
Sasa kutoka katika hizo process nilizoziorodhesha hapo juu hatuoni kama kuna uwezekano wa kupata HIV ikiwa mmoja wapo yuko infected na ana mchubuko?
Ni ukweli usiopingika kuwa watu wanafanya blowjobs au kuzama chumvini then wakati wa tendo lenyewe akavaa boot(condom) ,hivi huku sio sawa na kuruka jivu na kukanyaga moto?Je watu au watafiti wa masuala ya ukimwi ambao wanahamasisha matumizi ya CONDOM wanalielezeaje hili suala?(Hapa ndo ilipo point yangu)
Binafsi naamini katika hili wale wa style ya "tanua nikurenge" na wazama chumvini,blowjobs,deep kiss(romance then wanavaa condom wakati wa ku insert) inawezekana wako katika kundi moja la risk ya michubuko na ku acquare HIV or STD's zingine ambazo zinahitaji exposure ya body skin
Kwanini watu wasihabarishe kuwa HIV unaweza kupata bila kugusanisha migegedo peke yake katika process za kufanya sex ili ikiwezekana hata condom za ulimi na midomo(kidding) zitengenezwe kwa wazama chumvini na washika mic?

Naomba niwasilishe tulijadili kuwa process za maandalizi peke yake kabla ya kugusanisha vikojoleo unaweza pata maambukizi ya STD's hivo basi kuvaa condom baada ya kula cone sana,kuzama chumvini ni hatari pia
Mara ngapi umejisifia uko safe kua mlitumia condom ukasahau kabla ya kuvaliwa mpira mlinyonyana(kula cone na kuzama chumvini)?
 
moja NGONO AT WORK

mbili kirusi ni 0.08mm na condom poles ni 0.03mm hence HIV at work.

tatu all those are allogenic characters tabia za kuiga bila kutambua lengo la mwanzilishi

nne katika mapenzi maana ya MAPENZI hakuna UKIMWI

hali tu ya kuwaza HIV ni UZINZI at work .
 
Man are you serious?tusijadili Hili kama watakatifu ,tulijadili katika hali ya mtaani ya kawaida ,wengi tunajua condom inaokoa so assuming condom is 100% protective hoja yangu hapo juu unazungumziaje?
 
OFCOURSE AM SERIOUS!!

KWANINI TUSIJADILI KAMA WATAKATIFU ILA TUJADILI KAMA WAKOSEFU??

MUAFAKA WA WAKOSEFU UNAUJUA??

TUWE REALISTIC AND SERIOUS NOT IGNORANT AND KOOKY

HALI YA MTAANI YA KAWAIDA!!??
WE UNAONA HII NI KAWAIDA SI NDIYO??

KWANINI TUSIJADILI KAMA ULIMWENGU UNAYEJITAMBUA??

ASSUMPTIONS ARE NOT FACTS,CONDOMS ARE NOT PROTECTIVE

KUHUSU MADA WATU WAPIME,WAFUNGE NDOA ,WAISHI NDANI YA MAPENZI YA KWELI WAFURAHIE MAISHA NA KUSUBIRI HUKUMU

Eiyer juve2012
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hapo tunatakiwa kujua kuwa tukitotoa hatari ya kupata Maambukizi ya VVU kwa kufanya oral sex pia kuna hatari ya kupata saratani ya koo.

Na oral sex ina nguvu kabisa katika kuchangia maambukizi ya V.V:U maana hili jambo hilo litokee linahitaji Majimaji na milango.
Na hapo majimaji yanaweza kuwa
.Shahawa
.Majimaji ya uke
.Ute wa Uume
.Damu

Na ni wazo kuna uwezekano wa kukutana na haya majimaji wakati wa oral sex hasa damu zinaWeza kupatikana kwenye fizi.
Na hayo majimaji yanahitajii njia au milango hili virus kupita ambayo ni(milango)
.ncha ya Uume
.Uke
.Vidonda vilivyo wazi.
.Njia ya aja kubwa.

Kwa hiyo kwenye oral sex mtu mwenye vidonda mdomoni mfano mwanaume akalamba uke anauwezakano wa kupata maambukizi maana majimaji ya uke yana beba virusi na vidonda ni njia ya virus.

Pia vivyo hivyo mwanamke anapo kutanisha ndimi yake na Uume aka kutana na Ute au shahawa anaweza kupata maambukizi ikiwa ana vidonda mdomoni ambavyo virusi vitapita kama njia na ukumbuke shahawa na ute wa uume vina beba virus.

Hapo kwenye Deep kiss mpaka kuwepo na damu+Michubuko kwenye midomo yenu na kuwepo na damu pia kitu ambacho si rahisi.
NB Mate hayabebi virus vya Ukimwi.

Hivyo oral sex si safe kwa virus sema tuu life is all about taking risk!
 
Kama ndo huwa unafanya hayo na mtu mwenye michubuko kwenye hayo maeneo kabla ya mechi halafu ukatumia condom unajidanganya. Wacha mara moja.
 
Kama ndo huwa unafanya hayo na mtu mwenye michubuko kwenye hayo maeneo kabla ya mechi halafu ukatumia condom unajidanganya. Wacha mara moja.

ha ha ha unanituhumu dogo toa facts bana acha hizo ,so kila unachokizungumza unakifanya
 
Kwanza hapo tunatakiwa kujua kuwa tukitotoa hatari ya kupata Maambukizi ya VVU kwa kufanya oral sex pia kuna hatari ya kupata saratani ya koo.

Na oral sex ina nguvu kabisa katika kuchangia maambukizi ya V.V:U maana hili jambo hilo litokee linahitaji Majimaji na milango.
Na hapo majimaji yanaweza kuwa
.Shahawa
.Majimaji ya uke
.Ute wa Uume
.Damu

Na ni wazo kuna uwezekano wa kukutana na haya majimaji wakati wa oral sex hasa damu zinaWeza kupatikana kwenye fizi.
Na hayo majimaji yanahitajii njia au milango hili virus kupita ambayo ni(milango)
.ncha ya Uume
.Uke
.Vidonda vilivyo wazi.
.Njia ya aja kubwa.

Kwa hiyo kwenye oral sex mtu mwenye vidonda mdomoni mfano mwanaume akalamba uke anauwezakano wa kupata maambukizi maana majimaji ya uke yana beba virusi na vidonda ni njia ya virus.

Pia vivyo hivyo mwanamke anapo kutanisha ndimi yake na Uume aka kutana na Ute au shahawa anaweza kupata maambukizi ikiwa ana vidonda mdomoni ambavyo virusi vitapita kama njia na ukumbuke shahawa na ute wa uume vina beba virus.

Hapo kwenye Deep kiss mpaka kuwepo na damu+Michubuko kwenye midomo yenu na kuwepo na damu pia kitu ambacho si rahisi.
NB Mate hayabebi virus vya Ukimwi.

Hivyo oral sex si safe kwa virus sema tuu life is all about taking risk!

hapa ndo point yangu ilipo lakini mbona kama nahisi jamii haina uelewa kuhusu hili?
 
Back
Top Bottom