To all married men,nini kilikufanya umchague yeye kuwa mkeo?

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Habari za asubuhi wadau,

Najua ni mapema sanaaa yani kuwaza habari za mapenzi asubuhi yote hii,ila mara moja moja si mbaya....
Okay back to topic.....
Hii ya leo inawahusu wanaume mliooa au ambao mko engaged kuelekea ndoa,vijana ambao bado mna chagua chagua tafadhali acheni kaka zenu waseme au mkisema basi muwe mnasema ya kweli....

Swali ni hivi....NINI KILIKUFANYA UMCHAGUE MKE/MCHUMBA ULIENAE??...what made you conclude she is the one?...sababu zipi yani,uzuri wake,sura,umbo,tabia,elimu,kipato?au ulimpa ujauzito au ulijua tangu siku ya kwanza umemuona au??au kuna situation flani ilitokea ndo ukajua ndo yeye...au?.....au?.....
mi sijui,naomba mtuweke wazi mkiambatanisha na mifano 'practical' kabisaaa itakuwa poa zaidi....

Mind you,utakaposema hapa utamsaidia rafiki yako ,mdogo wako ama ndugu yako kupata uelewa yakinifu kuhusu wanaume linapokuja swala zima la ndoa.....mana kama mjuavyo waliozidiwa desperado wanazinatafuta hadi kwa waganga eti hhehehe...naamini hii ishu haina uchawi yani...

Karibuni sana kwa michago,kejeli si mpango,vichekesho ruksa......
 

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
1,195
he is verfy bize i ges, acha waziri mkuu wake nimsemee,
macare taker yangu yalimvurugaje akaona hee isiwe tabu, vya mbali staki
 

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
oh my goodness. this is the greatest mistake I had ever done, and now it is costing me undoing it. I got frauded big time.

duuh pole mkuu,ndo yule wife anaspend hela vibaya vibaya,hana jema hata moja jmn?
 

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Niltupia mimba, akanihunt down hadi kazini na mimba yake nikatishiwa kufukuzwa kazi. Mpaka leo sina uhakika hata kama mtoto mwenyewe wangu

hehehe kumbe mtu akilianzisha mnaweza kuwa serious eh..mtoto atakuwa wako bwn
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,629
2,000
Niltupia mimba, akanihunt down hadi kazini na mimba yake nikatishiwa kufukuzwa kazi. Mpaka leo sina uhakika hata kama mtoto mwenyewe wangu

Pole mkuu mtt wako tu...dry chama tupo wengi,mm nkiona mwanamke mjamzito najua tu hatumii kinga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom