Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mchana wa leo? Katika siku hizi kumekuwapo na tatizo SUGU sana la usaliti hasa kwa walioko kwenye mapenzi/mahusiano.Wengi hupenda kuita michepuko au nyumba ndogo.kidumu nk Kuna jamaa...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kadri muda unavyoenda idadi ya ndoa zinazovunjika inaongezeka. Matokeo ya research yangu niliyoifanya hivi karibuni yameonyesha kuwa kufikia mwaka 2025 karibu 3/8 ya ndoa zinazoibukia hivi...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wadau, Kwa muda wa kama miezi 3 nimefanya kazi bila kupumzika mpaka ilifika wakati nikaamini haitatokea na mimi nipate muda wa kupumzika.Hapa nilipo ijumaa ndo naanza mapumziko,naiona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wote wanajamvi, Kuna dada mmoja nimeanzanae mahusiano hivi karibuni yapata wiki moja, Anadai nikajitambulishe kwao hivi wakuu hii imekaaje ukizingatia ni muda mfupi tuliofahamiana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooo!!!!! Ukistaajabu ya Osokoni utayaona ya Diaspora!!!! Sasa sijui huko nje mnaishi kama mijibwa, sijui mnaishije kwakweli lakini utamaduni wenu na huku...
12 Reactions
98 Replies
7K Views
Habari wana MMU. Ni machache tu na naomba sala zenu zaidi kwa mke wangu kipenzi aliepoteza maisha miaka mitano iliyopita siku kama ya leo, nilimpenda sana na yeye alinipenda lakini alitangulia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji mume bora, je mume bora ana sifa zipi? Nahtaji mume bora!je mume bora ana sifa zp
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Mapenzi ndiyo yanaupamba ulimwengu huu,kama huamini hata uwe na pesa kiasi gani,masikini kiasi gani,hata uwe na postion gani serkalini hata kama wewe ni kiongozi mkubwa duniani jamani acheni...
2 Reactions
86 Replies
17K Views
1. Awe mkristo 2.Awe graduate 3.Awe na umri aidi ya miaka 32 4.Awe tayari kupima afya 5.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa 6.Awe mrefu wa futi 6. 7.Awe anajitambua kuwa yeye ni...
2 Reactions
107 Replies
12K Views
Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi.. na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu, Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima...
12 Reactions
88 Replies
7K Views
Habari wana MMU, Hivi ni haki kwa mwanamke au mwanaume kuchati na ex boy wake au ex-girl wake hali ya kuwa unajua ex wako huyoo bado anahitaji nafasi ndani ya moyo wako? Msaada tafadhalii
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi leo hii kama baba yako aka-adopt mtoto mwingine ambaye ni yatima then akakuamrisha uwe mtumishi wake wa kumpikia, kumfulia n.k.., then ukagoma na kutupwa ukajitafutie mtaani.., Then kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 30, anaishi chumba cha kupanga na amejiajiri, mwaka juzi alitaka kuoa lakn kwa bahati mbaya aliachana na mchumba wake baada ya kumfumania!. Mwanzoni mwa...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari zenu wana jf, Mpenzi wangu ni mfanya biashara,nilipata tetesi kwamba anachepuka na wanaume tofautitofauti nikaelekezwa na sehemu anaependa kukutana na hao mabwana zake, sikuweza kuamini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kina Mama Mmeajiri hausi geli au Mke Mbadala? Ebo! Kwa masihara mliyoyaibua zama hizi akina mama naapa mmeliwa! Wapo mamaza mnaoonyoosha miguu juu kabisa mkishapata hausi geli. Mnawachukulia ni...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Jamani salaam zenu wote! Nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua kuwa wanaume wa Afrika waliooa hakuna hata mmoja anaweza kuishi hata siku moja bila mke wake, akiweza ni kwa tabu na kuhangaika...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu heshima yenu, Mie nina kaswali kakizushi hivi ila huwa inanitokea kwa nini mwanaume anaeonesha kunipenda na kunijali sana huwa sina intrest nae kabisa hata kumfikiria dk 1 Ila ambaye...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanawake wengi siku hizi wanaingia kwenye usagaji kwa sababu ya imani za kishirikina. Kwa mfano hapa jijini Dar Es salaam, kuna kikundi cha wanawake wasagaji wanao fanya...
0 Reactions
33 Replies
20K Views
Wanajanvi, Kwa kawaida wapenzi wapya mapenzi yakinoga wanababanisha midomo hata kubadilishana mate. Bila kujali kuwa mtu ni afya, wengine wananuka midomo kuliko kunguru hasa wale wavuta sigara...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Naandika mada hii kwa mujibu wa mila za Kiafrika ambazo zinaeleweka kuwa Mwanaume niKiongozi wa familia na ndie anaetakiwa kuwa Mkuu wa nyumba Tafadhali hapa sio mahali pa kujadili kama hilo la...
0 Reactions
104 Replies
6K Views
Back
Top Bottom