papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 101
Habari wadau,
Kwa muda wa kama miezi 3 nimefanya kazi bila kupumzika mpaka ilifika wakati nikaamini haitatokea na mimi nipate muda wa kupumzika.Hapa nilipo ijumaa ndo naanza mapumziko,naiona ijumaa mbali sana.
Hatimaye naona siku zinasogea,hivyo ningependa kupata mtu wa kunipa kampan walau twende zetu beach tukapigwe upepo na story za mchangani.Walau kichwa kipumzike.
Kwa wale walio serious tafadhari tuwasiliane upande wa PM.Gharama zote juu yangu na sibagui umri