Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapa karibu na ninapoishi kuna mama ntilie ana mdogo wake ambaye huwa anasaidiana nae kazi za hapa na pale,mimi nimekuwa na mazoea ya kwenda kupata msosi pale kwenye mgahawa wao pindi ninapokuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zanguni wanajamvi, nakuja hapa kwa jambo lililomtokea rafiki yangu live, kwanza natanguliza salamu. Rafiki yangu kamwoa mwanamke wa kabila tofauti na yeye, mke wake mara nyingi anapenda...
0 Reactions
105 Replies
13K Views
Utafiti unaonyesha wanawake wengi wanapopata wapenzi wapya wanatamani wawe mtu mwenye kujua maufundi na sio learner au new comer hivyohivyo wanaume wanapenda wanawake wazoefu na sio bikra.sasa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakini nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke. 1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa...
2 Reactions
119 Replies
17K Views
jamani wana jf. Sio kama nimetunga ila nikweli. Shost yangu kapewa likizo na bwana wake mpaka kombe la dunia liishe. Hv kweli ni haki? Eti tv ipo na tbc1 na tbc2 zipo lakini anaenda kuangalia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wengi wanamuita Singida boy wadau kwa yeyote anaejua love life ya huyu mjamaa hebu anijuze...... maana simuoni akiandikwa andikwa magazetini kama akina nanliu......... Na pale chuoni kwao TIA...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Daktari Thomas Minja aliyewahudumia wadada wa kangamoko ambao inasadikika wamepigwa risasi jana amesema mbele ya kamera za ITV kuwa wamepigwa na kitu chenye ncha kali na sio risasi. credit.ITV
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika makuzi yangu kama binti wa Kiafrika nimefunzwa mambo mengi kuhusu maisha na wajibu wangu kama mtoto wa kike. Baada ya kuvunja ungo nilianza kuandaliwa kuwa mke mtarajiwa wa mwanaume...
7 Reactions
139 Replies
15K Views
Wakuu huyu dada kwakweli nimevutiwa nae muda tu .. Mtu mzima ikabidi nianze mchakato wa kumfuatilia ili nimmliki .. First meeting nilijipinda nikamuallika aje tupige story naye sehemu fulani...
3 Reactions
128 Replies
9K Views
Wanasema eti guest houses mara nyingi hujaa wake za watu wakiambatana na vijana wadogo wadogo, ati kulikoni waume za watu wakiambatana na mabinti wadogo wadogo. Wana JF hebu tuambizane ipi...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Stacey Tantleff-Dunn mtalamu wa afya ya ulaji na mwonekano anasema kwamba, vipimo vya uzuri kwa wanawake vimegawanyika. Kwa kawaida wanaume hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au mwili, lakini...
7 Reactions
91 Replies
21K Views
Kijana msichana wa miaka 18 ametokea kunipenda yeye amesoma hadi std VII sasa ni h/girl mimi ni mtu wa ndoa je nifanyeje?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimekutana na kipeperushi kimoja cha mtu mmoja anayejiita mtumishi wa Mungu anadai kuwa baba mwenye nyumba kumwingilia housegirl wake na hata kuzaa nae si dhambi. Anatolea mifano ya kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu humu ndani kwa wale wanaojua wafundaji wazuri wa kufunda mtoto wa kike tafadhali achieni namba zao humu ndani ila mfundaji huyo awe tayari kusafiri kuletwa mkoa wa ajili ya shughuli hiyo.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wenzangu, watu wengi huyajua mapungufu ya wanaume/wanawake wanaotaka kuwaoa/kuolewa nao na hukubali kuolewa/kuoa kwa kujifariji watayavumilia ili mradi tu waingie kwanye ndoa. Baada ya muda...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi mwanamke nina miaka 31, Natafuta mume wakunioa awe na miaka 33 Nakuendelea nina mtoto mmoja Nahitaji mkristo awe na kazi ya kueleweka , Ukiniona hauwezi kuamini mpaka nikuambie...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
heheheiyaaa!!.,tenaaaaa!!! Hakuna kama uswazi wajameni!!...yani ningejua ningelihamia mapemaaaa!! Nina mwezi sasa tokea nimehamia hapa kwa tumbo tandale baada ya maisha ya kishua kunikataa...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Wadau naomba kuuliza kwa sababu ya situation ya siku hizi, Najua wanaume wengi sana wanachepuka kadhalika na wanawake pia, hii ni kwa sababu sie wanaume mara nyingi tunatembea na wake za watu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazazi saa nyingine wanaboa sana unakuta Mtu umemaliza kusoma ndio kwanza umeanza kazi, tayari mtu anaanza kukwambia Mshahara wako wa kwanza sijui unipe zawadi, sasa ya Nini? Mara utasikia...
0 Reactions
133 Replies
10K Views
Back
Top Bottom