Jamani salaam zenu wote!
Nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua kuwa wanaume wa Afrika waliooa hakuna hata mmoja anaweza kuishi hata siku moja bila mke wake, akiweza ni kwa tabu na kuhangaika.
1. Hawapendi kupika
2. Hawapendi kutandika kitanda, akiamka na net hapohapo, akikaa akinyanyuka hawezi hata nyoosha shuka.
3. Wachache wanaweza, but walio wengi hata kwenda sokoni hawawezi, hata bei za vyakula wanasikia redioni/.
4. Hawapendi kuattend watoto, eti ambadilishe nepi, sijui amuogeshe, wanona kero tu. waogeshwe na mwingine, wawe wasafi wao ndo wacheze na watoto.
5. Wanapenda nanii, hivyo wakibaki wenyewe wanaona chumba kikubwa kama ukubwa wa ukumbi wa sherehe.
6. Hawapendi watangulie nyumbani, ila wewe utangulie ndo umpokee, akitangulia anakaa kama mgeni, anasubiri mwenyeji.
7.
8.
9.
Ni vema tu mjifunze kubembeleza wake zenu, maana thamani yao ni kubwa kuliko ninyi kuishi wenyewe! Wadumu wanaume wa Afrika!