Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NINA MIAKA 37 NA MTOTO 1 WA KIUME NIMEAJIIW NA SERIKALI NA NIKO DAR MUME UANZIA MIAKA 40 NA KUENDELEA KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA nuruwaheed@ymail.com
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Habari zenu wanajamii forum.kuna mademu kama wawili hivi nimekutana nao cha ajabu kudendeka nadendeka nao ila papuchi hawataki kuachia eti wanasema wana wapenzi wao ndio maana tunda hawataki kutoa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Huu ndio uongozi uliopo kwenye familia nyingi sana bongo. Je ni nani anaongoza familia yako? Wanaume wanaburuzwa tu
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wasalaam! Ni stori ya kweli iliotokea kwenye moja ya majiji makubwa hapa tz: Jamaa alioa mwanamke aliekwishazaa mtoto mmoja na mwanamme mwingine kabla ya kumwoa. Ni mtoto wa kike. Lakini...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Wadau MMU! Leo naomba niseme kidogo juu ya baadhi ya WANAWAKE wanaosumbua wafanyakazi kwenye OFISI za WAUME zao,nimekuwa nikishuhudia wanawake wengi wakisumbua wafanyakazi kwenye sehemu ambazo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
UNAAMKA umenuna, unaoga umenuna, unavaa umenuna, unakwenda kazini umenuna. Jioni unarudi umenuna! Inasaidia nini? Kama una dukuduku na mke au mumeo/mpenzi mwambie. Zungumza naye. Unanununa...
5 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakuu, Kuna rafiki yangu nilikuwa napiga naye story, amenistusha sana baada ya kuniambia kuna idadi kubwa sana ya wanaume tasa. Vyanzo vya utasa kwa wanaume amedai ni pamoja na vya kimazingira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alijiwekea takribani milion sita hivi akajiamini harusi yake itakuwa nzuri. Michakato ya mahari jamaa akamaliza kama milioni mbili hivi zikabaki nne. Akaitisha kikao cha ndugu wa karibu...
3 Reactions
99 Replies
10K Views
Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao?? Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku...
0 Reactions
107 Replies
9K Views
Nimepanga kwenye nyumba flani hivi, tupo wapangaji wawili tu! mimi na wadada wa3 wote raia wa Commoro! Kati yao, mmoja kila nikirudi home jioni, lazima nimkute getini, au kwenye mlango wa...
2 Reactions
187 Replies
21K Views
Wana MMU, Naomba tuwekane sawa katika hili jambo. Jaribu-ku-imagine kuwa wewe ndio mhusika (ukiwa Ke chukuwa nafasi ya mwanamke, Ukiwa me chukua nafasi ya mwanaume). Upo na Mkeo/mumeo, mungu...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa kiislam umri wangu ni miaka 29, Mrefu wa wastani, Rangi mweusi, Kabila msukuma.nina degree moja na nimeajiriwa serikalini. Sina mtoto wala mke.Naish dar. Sifa za mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa hivi,,kuna namba nilikuta kwenye simu ya wife . haina jina, jina alikuwa amesevu kwenye line nyingine. Hatuna mipaka kwenye simu,..sasa badala nimuulize, mi nikachukua hiyo namba, nikawa...
6 Reactions
99 Replies
12K Views
Natafuta mume Sifa: Mcha Mungu, mwenye kazi inayoeleweka,anaye penda family, mwenyekupenda maendeleo, umri 35-50. Angalizo nina watoto wawili
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh...
0 Reactions
109 Replies
11K Views
Habari, Wiki hii au ijayo...Natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu, Nahitaji mwalimu mzuri, Awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila...
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Wana wa jf.Ndio natoka mda huu hapa Ocean road hosptl kupima pressure. Hivi kama kweli watu wanadai wanaweza kuponya watu kwanini wasiende pale Ocean road japo wawaponye wale binadamu wenzetu...
22 Reactions
225 Replies
18K Views
Wakuu nimeoa nina mwaka mmoja. Shemeji/wifi yenu ana mimba,kwa kweli kipindi fulani akawa na mapenzi mazito sana na mimi,kiasi kwamba nikiwa field,wikendi lazima anifate,usiku tunaongea na simu...
2 Reactions
74 Replies
7K Views
Back
Top Bottom