mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,168
Wanajanvi,
Kwa kawaida wapenzi wapya mapenzi yakinoga wanababanisha midomo hata kubadilishana mate.
Bila kujali kuwa mtu ni afya, wengine wananuka midomo kuliko kunguru hasa wale wavuta sigara, wengine wala kitimoto wanadendeka na mahajiati.
Je , penzi linasahulisha MTU ni afya au mwenye mapemzi ana chongo.