Kumbukumbu ya kifo cha my love

Kumbukumbu ya kifo cha my love

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,852
Reaction score
35,620
Habari wana MMU.

Ni machache tu na naomba sala zenu zaidi kwa mke wangu kipenzi aliepoteza maisha miaka mitano iliyopita siku kama ya leo, nilimpenda sana na yeye alinipenda lakini alitangulia mbele za haki.

Nawashukuru wana jamiiforum na rafiki zangu walionisindikiza kusafisha kaburi na kisha kwenda kuwatembelea watoto yatima ktk vituo viwili, sina cha kuwalipa mungu atawalipa asanteni.
 
pole mwaya kwa kuondokewa na kipenzi chako Mungu ndiye anayeweza kutufariji siisi pokea faraja toka kwake na uwe na furaha, upendona uwe mwenye kumcha na kumtumikia Mungu kwani hatujui siku wala saa ambayo Mungu huchukua uhai wetu

Asante sana mungu ampumzishe salama na tuzidi kumwombea
 
pole mwaya naona ni jinsi gani ulivyompenda aisee pole mwaya Mungu atakuvuta machozi yako usipozimia roho yako mtumikie yeye Mungu naye atakuwa baba kwako

umenifanya nitokwe na machozi nami nikimkumbuka shangazi yangu niliyempenda kwa dhati
kuondokokewa kunaumiza lakini Mungu anatufariji
hakika apumzike kwa amani nitamuenzi milele na sitomsahau.
 
Pole sana sana,
Mungu azidi kukutia nguvu.

Pumzika kwa amani dada.
 
pole mwaya naona ni jinsi gani ulivyompenda aisee pole mwaya Mungu atakuvuta machozi yako usipozimia roho yako mtumikie yeye Mungu naye atakuwa baba kwako

umenifanya nitokwe na machozi nami nikimkumbuka shangazi yangu niliyempenda kwa dhati
kuondokokewa kunaumiza lakini Mungu anatufariji

ni kweli inauma sana na ni maumivu yasiyosahaulika kamwe kuondokewa na umpendaye acha tu
 
Mungu atoae furaha na faraja ya kweli aendelee kukufariji kaka!
 
Back
Top Bottom