Osokoni mpya aibuka! Msomi hela utamchuna lakini si burebure!

Osokoni mpya aibuka! Msomi hela utamchuna lakini si burebure!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,223
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooo!!!!!

Ukistaajabu ya Osokoni utayaona ya Diaspora!!!! Sasa sijui huko nje mnaishi kama mijibwa, sijui mnaishije kwakweli lakini utamaduni wenu na huku bongo tofautiiiiii! Huku wanawake twapenda vya bureeeee si masikhara! Hutoi kitu hupati kitu! Nipe nikupe ndo ishu za huku!

Sasa huyu Diaspora alitoka Uk, amerudi amejipanga si utani. Sasa kazoea nje, mnabanjuana tuuuu! Aliporudi akawa ile direct anaomba mbuda live! Hataki ile kutupiwa friendship zone! Mmmmh! Wanawake wakawa wana mshobokea coz ni hb kwa kweli, na wallet inajiongeza na kienglish chake cha london yalaaah! Madem wanamshobokea aje sasa! Waambiwa mtu akikaa nae 1 date baaaaaaaaas! Ana mblack list kabisaaa!

Anakupigia nishalipia chumba! Tobaaaaaaa! Ndo ujue wajinasua vipi! Ukizubaa unapigwa Free P za fasta! Ndo uwe sterling wa kwenda chooni na kupotea mazimaaa! Wasomi wakamshindwa kwa kweli! Potelea pote! Basi washkaji wakampa somo hatuendi hivo! Punguza speed! Ila somo la kuhonga ndo halikumuingia! Kabisaaa!

Mara bi dada mmoja tuko nae saluni kamvagaa nshomile! Tukawa tuko standby tujue atamuomba mpanchonyo 1st date? Kaenda kajipanga si utani. Holaaaa! Kamshushia mbali hata ndani kwa bidada kagoma kuingia! Mmmmmmh! Tukasema inamaana walivumisha ili tumuogope tutishike wafaidi wao tu nini? Nyambaaaaaaaaf! Mimi nikasema its too early tuone itatokeaje!

5 dates! Walaaaaa haombi mzigo! Bi dada kajiongeza kuomba kilo 2 sijui za nini, kamwambia njoo home uchukie, mchezo wa 1 ukapigwa! Ofcourse tuliuliza kama kibamia au? Akasema he is pretty very much AVERAGE! Hahaaaaaaa! Kantangazeee! Mbona alijilogaaa kumpa mbuda! Mara itifaki ikazingitawa na katiba ikafwata akamuomba kodi! Akaambiwa niko Holiday in nina semina njoo uchukue! Mbuda ikaliwaaaa!

Mara naomba samsung galaxy. S5, akaambiwa njoo wanyama hotel ninayo! Usiku kucha kasimamia shoo, asubuhi kapewa ki galaxy!

Mara nigee hela ya luku, buku 30 tu nirushie na mpesa, noo baby siwezi kurusha, njoo home kodi tax uchukue hio hela nitakodi na ya kurudi! Loooooh! Unafirikiri alirudi bureeee? Fikiria upyaaa!

Baba hatoi kumi bila kula mbuda! Sasa bi dada anahisi ANATUMIKA! Hahaaaa! So tukamshauri coz mbuda unayo buree mpe mara nyingi nyingi hadi isiwe ishu tu! Unavoibana ndo yeye anakaba! Mpelekee mpaka aikinai! Isitoshe ushapigwa free p, mara ngapi umri huo, kwani kitu gani banaa, jiongeze huwezi jua mnaweza fika mbali! Hahaaaaa! We huoni mbuda ikiwa abundant insecurity itamuisha kuwa unamchuna tu? Mmmmmh!


Out of Topic!
Ps! Mnaojiongeza kwa baby wangu Matola tutamalizana! Mnafikiri mimi mjini nimekuja kupaka rangi majogoo? Members 100000000 nimemuona yeye tu hamstuki? Tabia mimi navumbua Gold pure afu mnaibukia mbele nitamuumiza mtu humu! I love you piko wa moyo wangu!
 
He he he he, Matola ana kizizi kibaya sana, saa hivi naogopa hata kumkwoti. Yaani Lara 1 umekuja mjini na lori afu unataka kummiliki wa hapa hapa peke yako, subutu.
 
Last edited by a moderator:
He he he he, Matola ana kizizi kibaya sana, saa hivi naogopa hata kumkwoti. Yaani Lara 1 umekuja mjini na lori afu unataka kummiliki wa hapa hapa peke yako, subutu.

haa haa mwambie wa peke yake mama ake mzazi tu kwa kuwa hawez kuzaliwa na wamama wawili
 
Ndo dawa yake free p,kuzichapa papuchi zikijipendekeza
 
hahaaaaa heeeee kila mtu anawake mwaka huuu...wanaobanana wata shaaaaaaaa
 
lara 1

That is Lara1 as usual. Excellent story telling. Once you start the first line, nothing can stop you till you reach the last one. Its like having a nice dinner. And the dessert? Something about her Matola. I repeat, Matola must be such a lucky man. keep it up Lara1.
 
He he he he, Matola ana kizizi kibaya sana, saa hivi naogopa hata kumkwoti. Yaani Lara 1 umekuja mjini na lori afu unataka kummiliki wa hapa hapa peke yako, subutu.

Noooo! Nimemaanisha NIMEKUJA MJINI JAMVINI HUMU JAMIIFORUMS! Sijajiunga humu nipake rangi majogooo! Oooooh! Niko strategically!
 
Mmh huyo Matola itabidi nianze kujisogeza kwake nijue utam wake,hahahaa
 
Last edited by a moderator:
haa haa mwambie wa peke yake mama ake mzazi tu kwa kuwa hawez kuzaliwa na wamama wawili
Nikishatoa mfano humu mtanielewa tu! NAONA WATU WANAJISOGEZA SOGEZA KWA MY BABY! Mimi mnapenda kuwa mimi, mrs Matola, sasa na wengine wakitaka kuwa mimi lazima pachimbike!
 
Last edited by a moderator:
Matola kazi kaipata aiseee kila saa i love u piko he he he ntaambiwa wivu buree
Hayaa kwa hiyo osokoni hatoi pesa mpaka mbunye kazi kwelii kweliiii
 
Last edited by a moderator:
Osokoni ana balaa mambo ya nipe nikupe na hii new couple sikua naijua oaneni basi msiishie jamii forum
 
Lara 1 ni kipaji au umefundishwa? Kama ni later tupe shule ya kutiririka hivi
 
Aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea! mkuu Matola mtumie huyu kiumbe ukimchoka mteme ka bigG kwa kuonjeshwa karanga za 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom