Mara nyingi nimeona familia ambazo zina jiweza kiuchumi zinawalea watoto kama mayai vile kitu ambacho kwa mtazamo wangu nanona kama ni sio vizuri kwa sababu mtoto anakosa uelewa wa vitu vidogo...
Natafuta mwanaume ambae badae aje awe mume kama Mungu atatubariki.
Awe na ajira,
Mwenye hofu na Mungu na upendo.
Mimi ni 30+ sina mtoto wala sijawahi kuolewa kwa mengine zaid please PM..
Kwa...
Natumai mtakuwa mpo na afya tele wanammu.
Swali langu nitakalo kuuliza ni je ndoa ya serikali inatambulika kimungu hasa kwenye ukristo?
Na je kama wanandoa waliofunga ndoa ya serikali halafu ni...
Heading hapo juu inasomeka kama haijakamilika vile.
Inawezekana kila mwanaJF akawa amejenga picha yake na uelewa kuhusu hili neno Kupata Mtoto
Mtoto ni tunu na furaha ya wazazi, ingawa...
(OPRAH.com) -- In a new study conducted by marriage counselor M. Gary Neuman, it's estimated that one in 2.7 men will cheat -- and most of their wives will never know about it.
M. Gary Neuman...
Huyu ni rafiki yangu wa muda mrefu,ni yatima ,zaidi ana kaka zake 4,na ndio waliomlea,na katika ndugu walimtegemea mjomba wao,
Lakini mjomba wao hakuwapa msaada wowote kaka zake 2 ni makonda,1 na...
Wenyewe mmetoka mbali toka mume hana kitu mnapigana na maisha ukiwa na matumaini ni mume wako miaka minne ya shida mnafanikiwa kupata kipato halafu mume anakumwaga tena kwa kashfa, kwa wanawake...
Hellow
Hii kitu ishantokea mara nyingi sana, yani utakuta una nia nzuri tu na mwanamke na umem-approach lakini yeye anakuambia tuwe marafiki, "let's just be friends" damn I hate those words...
Haya habari za jioni wana JF,
Nimekuwa addicted mbaya sikuhizi humu. Okay, hoping wote hamjambo, weekend inaenda barida kabisa, wenye matatizo poleni sana it's gonna be fine.
Back to topic...
Wajamvini mimi nataka kujua kwanini siku hizi swala la sex limekuwa kama ni sehemu ya awali au tendo tangulizi kabla ya ndoa sababu kubwa inaweza ikawa nini?
Naombeni michango yenu.
Hivi wakuu kuna tofauti gani ya kuoa mwanamke wa kabila lako na ambae si wa kabila lake,na huu msemo wa wazee wetu waliotutangulia wa kusema ni vema uoe kabila lako na familia unayoijua ilikua...
Wana Jf msaada wenu tafadhari, nina rafiki yangu anasoma chuo kimoja Dar yeye ni mchaga wa rombo, sasa kuna mkaka mmoja muha wa kigoma amempenda sana, kaka yule anataka amuowe sasa akaniomba...
Anhyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Uje wadada most of the time tunakiwaga na expectation zetu, our fairy tale. At times we so much want to live the dream, and we wish so hard...
Hii habari ingependeza kama angeiandika lara 1 na zile swagger zake.
Anyway, nitajaribu kusimulia.
Iko hivi, hapa kwa mkoloni wangu kila mwezi unakuwa ni wa mavuno kwa wale wanaume wakware...
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooo!
Refering to signature ya [U watu8[/U], we might be using fake names, fake avatars, fake whatever yet still Deep inside the fake zone stands our true hearts...
Kwanini kuwa na nyumba ndogo uko ndani ya ndoa au utamu wa tunda huwa tofauti?
Lakini tunda si lilelile kipi kinachokufanya uende nje ya ndoa?
Na ninyi wezi wa waume za watu acheni hiyo tabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.