Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Waungwana hi ni kweli! kuna dem kwel twapendana nikiwa na shda anansaidia nam pia namsaidia ila sasa ukitaka 2nda anakutel mpka 2funge ndoa, sasaiv kafunga safar kutoka Dar adi Arusha anakuja...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar zenu wana JF,natafuta girfriend nna miaka 21 nipo dar sifa za nimtakae umri kuanzia 18-25,alietayali anitafute kupitia 0657175051 au khaleedshaban@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Ule wimbo " Wanawake wazuriwazuri wameolewa... wamebaki Manunga Embe yanahangaika"
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Utamuona amependeza sana kapiga marashi ya maana. Kumbe hasafishi vizuri ndani ya .......... Ukikuta kafuga kucha ndefu kweli kapaka rangi za maana kwenye kucha. Kila weekend anaenda kuoshwa...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Awe anaelewa thamani ya kupenda na kupendwa, awe na hofu ya mungu, ajue maana halisi ya maisha. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, asiwe mtumiaji wa kilevi chochote, awe na ngozi nyeupe au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu:, ma X kaniwish happybirthday leo na pia leo ni siku ambayo miaka 5 nyuma ndio tulianzisha mapenzi. Ni miezi 7 sasa toka tumetengana. Je anisanifu aone nitajibu nn? Kama sio...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
am bright npo moro twn nahitaji rafki wa kike just for a fun, aliye tayari please nicheki via, antonysauti@gmail.com or ni pm mainly awe mkazi wa moro na vitongoji vyake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike umri 20 to 26, wa kuchati tu, mambo mengine yatakuwa controlled na destin, just pm if you are interested
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Wapendwa nin miezi mitat sasa tangu nianza kaz mkoa wa kigoma my age 25, brown colour, long nose chaga by tribe kwa kwel npo so much lonely if thre is a lady out thare plz let we be friends...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niko zangu hospital provincial de Cabodelgado, nimemleta mkewangu kujifungua. Ninafurahi/ nitafurahi sana kama mkewangu atajifungua salama, kwani huyo ndio atakua mtoto wangu wa kwanza. Dua...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapendwa najiona kama nipo mbele hapa burudani za maana pafume za ukweli sema wazungu wa kumwaga live inaendelea lkn mamba ni wengi nadhani nikisema mamba wanaojua wanatambua wapo hapa kwa ajili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1.Anamkomoa mmewe 2.Analala mapema kabla ya mmewe 3.Anachelewa kuamka kabla mmewe 4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote 5.Anadhani kumnyima mmewe uny-Umba ni kumkomoa 6.Mmekaa sebuleni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wakuu, kuna uwezekano wa kujua kama mwanamke amekulisha limbwata au amekupeleka kwa mganga au anatumia dawa zozote za kimapenzi? Mimi ni grown Man na nimekuwa na mahusiano na wanawake...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Hi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Jamani wanajamvi hamjambo! Mwenzenu yamenikuta,ninampenzi wangu wa muda mrefu na tulikubaliana tufunge ndoa mwezi wa kumi mara tu nimalizapo ujenzi wa nyumba ya kuishi, Kila siku namkataza...
1 Reactions
84 Replies
8K Views
habari za majukumu wakuu..nahitaji utundu kidogo wa kucheza na maneno kuna binti niko naye mbali kimkoa...,sasa bhasi nahitaj kumshawishi aje mkoa nilio mimi hii ni kutokana na mimi kubanwa na...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Mimi nmekuwa nawataka au nikivutiwa na mademu lakini wote niwapendao huwa hawana muda na mimi lakini sasa kuna ambao wala sina interest nao ndio wanaojileta kwangu usinicheke . Msaada please.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Aina za wanaume ambao mabinti wengi hujikuta wakinaswa nao...Zijue faida zao na hasara zao pia 1. MR. THUG LIFE Faida zake a. Hukufurahisha na ya kukusisimua b. Hufanya ucheke c. Anakua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
1.acheni visirani majumbani 2.msitunyime eti mmechoka 3.msiwe na midomo mirefu 4.hakuna mapenzi ni matatizo tu 5. Mtuheshimu kwa kuwa si ndio tulioamua kuwaoa 6.msichukie ndugu zetu E.t.c
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu.Nasikitika kwamba nilimpoteza mchumba wangu mwaka jana katika ajali ya gari, Niliumia sana,nilifadhaika sana,nilihisi watu wote kwangu ni wabaya, lakini cha kusikitisha ni kwamba...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom