Wana Jf,
Katika hali isiyo ya kawaida, huyu bwana anasimlia tena kwa kumaanisha kuwa alicho kifanya ni sahihi.
Anasema akiwaa katika majukumu yake ya kazi maeneo ya Dodoma likutana na binti...
Wadau mmeiona hii habari? Halafu atokee mwanamke humu adai kwamba huyo mama kajitakia mwenyewe. Walahi ntakutukana matusi ambayo hujawahi yasikia maishani mwako.
But on a serious note, kweli kuna...
Najua ndoa nane za JF ambazo hadi kufikia sasa zote zimekufa. Nilishahudhuria arusi za ndoa 2 kwa sababu wahusika walikuwa kwenye circle ya marafiki zangu, sita zilifungwa kibubububu na pia...
Baada ya kupata ushauri, mawazo, kejeli na kila kitu.... nimeandaa algorthim as follow....
{pass parameter} mke wa mtu;
if ukigonga mke wa mtu, then umejitoa mhanga; (otherwise ur a hero)...
Mupoooooo wajameni basi sawa!
Kuna mama mmoja kaiacha hoi anasema eti vijana wa siku izi kazi wawaiwezi wawapo 6*6 kwani unaweza ukawa na kijana ukijua atakufikisha kunako kumbe akupaka shombo tu...
nahitaji mpenzi wa kike ambae tutakuwa na mahusiano ya kimapenzi na awe na sifa zifuatazo:-
1.elimu ya kawaida tuu inatosha.
2.anaejitambua siyo muhuni.
3.dini yeyote ile ila asiwe mpagani...
Shemej yangu (mke wa kaka yangu),anatoka na mwanaume mwingine kipind hiki ambacho amesafiri kikaz nami nimegundua ila sijui nifanyeje mpaka sasa ila roho inaniuma sana naombeni ushauri wenu wana...
Leo ni siku kubwa ya kusherehekea ma baba wote .hongera zenu .Nina Imani wake zenu na baby mama wamewanunulia zawadi nzuri na chakula kizuri kushukuru .Happy fathers day to everybody ( fathers )
Habari zenu wana jf,
Ni rafiki yangu wa kike yupo likizo taishi nae hadi likizo yake itakapoisha.
Jamani mimi ninavyojua kwa taratibu zetu za Kiafrika mgeni anapokwenda sehem kuishi huwa...
Kwa takribani miezi minne mfululizo MCHUNGUZI HURU nimekuwa nikifanya uchunguzi wa walaji wakubwa wa mihogo jijini Dar es Salaam.
Uchunguzi wangu umebaini kuwa asilimia kubwa ya walaji wa...
Daaah hivi kwanini ukianzisha mahusiano na mke wa mtu ni kazi sana kukatisha na mwisho wake huwa ni fumanizi???....Nimenasa kwa mke wa mtu sikuwa najua kama ameolewa wakati natupa mshipi, baada...
Habari zenu wana JF,
Kama ambavyo title inaeleza,nahitaji binti kwa ajili ya uhusiano wa malengo.
Kuhusu mimi; Ni muslim,Bachelor holder, miaka 27,ninafanya kazi halali,naishi Dar
Nahitaji binti...
Wadau naomba msaada mana binti nikimtokea akanambia nina mtu wangu yan hapo ujanja wangu wote mfukoni, yaani huwa siwezi kumshawishi mana kila nikimshawishi anakwambia ingekua ni wewe...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Yaani hapa nilipo nnausingizi ila niko na redbull pembeni ndani ya dakika kadhaa nitakuwa poa. Hivi kipindi kati niliandamwa sana na mizuka na majanga sasa nikaona...
Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru.
Wakili wake Elshareef Ali, ameambia BBC kuwa mwanamke huyo aliyekiuka dini kwa kuolewa na mwanamume mkristo aliachiliwa...
Wakuu kama mnakumbuka niliweka thread humu ndani ya kuwa ninatafuta mke, hatimae nimempata tena ana vigezo vile ambavyo nilivyokuwa ninavitaka( japokuwa kuna wengine walinivunja moyo ) yaani kwa...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooo!
Naona mnakaribia kujaza pertition mada zangu na Mom Fay zisiruhusiwe MMU! Hahaaaa! From next week nitakuwa busy so ya leo namalizia malizia!
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.