Kupata mtoto

Paw

Content Manager
Nov 14, 2010
2,110
1,360
Heading hapo juu inasomeka kama haijakamilika vile.

Inawezekana kila mwanaJF akawa amejenga picha yake na uelewa kuhusu hili neno Kupata Mtoto

Mtoto ni tunu na furaha ya wazazi, ingawa inawezekana wazazi hao wakawa wapo ktk mahusiano rasmi ya ndoa, mchepuko na kadhalika. Lakini si mara zote mtoto anafurahisha wazazi. Pata picha ya wazazi ambao kwanza ni wanafunzi kisha tegemezi kwa wazazi/ walezi wao ambapo inawezekana walitamani kuuchoropoa ujauzito bila mafanikio lakini hatimaye wamepata mtoto ambaye labda mzazi mmoja kamkana tangu alipotaarifiwa ama wote hawana amani na ujio huo.

Hakika pia ninashangazwa na wingi wa watoto kwa wazazi ambao uchumi wao ni tia-maji tia-maji na cha kushangaza ni kuwa hawakosi chakula cha kuwalisha watoto wao na kadhalika. Hivyo naamini sasa kwamba mtoto huja na baraka maalum. Sishawishi uzazi usio na mpango.

Pamoja na hayo mtoto anabaki kuwa na haki zote za msingi yaani ulinzi na malezi kutoka kwa wazazi/ walezi wake.

Ninafuraha kuwatabainisha kwamba nimekuwa miongoni mwa wazazi rasmi wenye furaha iliyotajwa hapo juu.
 
waoooooooooooooooooow! hongera sana bestito kumbe umejaliwa kuwa na mtoto
Mungu awape afya njema wewe, mama na mtoto pia
Heading hapo juu inasomeka kama haijakamilika vile.

Inawezekana kila mwanaJF akawa amejenga picha yake na uelewa kuhusu hili neno Kupata Mtoto

Mtoto ni tunu na furaha ya wazazi, ingawa inawezekana wazazi hao wakawa wapo ktk mahusiano rasmi ya ndoa, mchepuko na kadhalika. Lakini si mara zote mtoto anafurahisha wazazi. Pata picha ya wazazi ambao kwanza ni wanafunzi kisha tegemezi kwa wazazi/ walezi wao ambapo inawezekana walitamani kuuchoropoa ujauzito bila mafanikio lakini hatimaye wamepata mtoto ambaye labda mzazi mmoja kamkana tangu alipotaarifiwa ama wote hawana amani na ujio huo.

Hakika pia ninashangazwa na wingi wa watoto kwa wazazi ambao uchumi wao ni tia-maji tia-maji na cha kushangaza ni kuwa hawakosi chakula cha kuwalisha watoto wao na kadhalika. Hivyo naamini sasa kwamba mtoto huja na baraka maalum. Sishawishi uzazi usio na mpango.

Pamoja na hayo mtoto anabaki kuwa na haki zote za msingi yaani ulinzi na malezi kutoka kwa wazazi/ walezi wake.

Ninafuraha kuwatabainisha kwamba nimekuwa miongoni mwa wazazi rasmi wenye furaha iliyotajwa hapo juu.
 
Hongera sana Mkuu!

...
Mtoto aliezaliwa bila ya mategemeo ya wazazi, hawezi kuwa normal! Either atakuwa Zombie or atawasaidia sana wazee wake hadi kuleta mshangao!
...
...
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Paw hongereni sana kwa kweli sasa ....unaalkwa rasmi katika klabu ya "wababa" !!!!!!!
Nimefarijika kuona unatambua kuwa kwanza mtoto ni faraja na sio saa zote huwa wanakupa furaha bila changamoto za hapa na pale.

Umeongelea haki za mtoto, ulinzi, kuwalisha vizuri.......lakini pia uko makini kuwa yote haya yanategemea idadi yao!!!!!

Hongereni tena
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwanza nashukuru kwa wishes...
Pile nimevutika sana kusoma mara mbili post yako na hapa nawaza kama wewe siyo mwalimu basi fani uliyopo sasa si yako.

Nashukuru tena mkuu
 
Hivi mke wa Paw humu ndani ni nani?? Loh btw-hongera sana mkuu mungu awakuzie na mumlee katika maadili mema.Best wishes
 
Ha ha haaa karibu sana mkuu, kweli ....kazi inahusisha kutoa mafunzo pia!!!!!
Huwa nafurahi sana kuona mtu anakuwa mzazi akiwa anajua nini kiko mbele yake ....yaani anajua tofauti ya kulea na kukuza!!!!

Mungu awakuzie uzao wenu kwa afya na amani, kije kiwafae ninyi na wengine pia
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Hivi mke wa Paw humu ndani ni nani?? Loh btw-hongera sana mkuu mungu awakuzie na mumlee katika maadili mema.Best wishes

............................:spy:.................................:boink:...........................
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Jongera sana Paw
Mungu akubariki akukuzie kijana wako
Akue katika maadili akufanye uwe mzazi unayejivunia kwaye!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Paw, ni furaha sana kuona fotokopi yako duniani.

Na kiukweli furaha hiyo huzidi na huwezi ona mzigo kulea.

King'asti mbaya sana, hujanishirikisha?
 
Last edited by a moderator:
Natoa twisheni ya kuogesha vichanga, kufunga pampazi, kuwavalisha, na kunyonyesha usiku bila kuchoka.
 
Nakesha kumsaidia kumuogesha mtoto na kumbembeleza usiku maana najua mchana ni zahama la kunyonyesha hivyo mama anachoka sana.

Itakuwa vyema nikiongeza darasa kwako
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom