Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukienda kumbi za starehe usiku huwezi kukuta wadada wakijiuza safi sana hii
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina rafiki yang 1 alikuwa na mpenzi wake alidumu naye takriban miaka 2, jamaa alimpenda sana demu udhaif alioutumia demu kumnyanyasa jamaa kimapenz kwa kuwa na mchepuko, jmaa aliteseka sana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kweli nimechoka kuonga ndio nipendwe sasa nimeona nisake jimama la nguvu lenye fedha. Si kila Mara kunapokucha pochi yangu inapukutisha tu. Jimama hilo lisiwe name majivuno. Lianzie miaka 45...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mambo yetu yanapatikana pande zipi hapa mitaa ya musoma
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Za usiku wapenzi!!. ...eeeeh!!.umekuja fasta unadhani namsema mme wangu Arovera !! akhaaa...tunapeta tu. Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tv1 jioni hii pia nilipata ugeni ivo sikuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaomba ushauri , iko hivi Ni bint wa miaka 27 hajaolewa kutoka na mazingira ya kijijin kwao mama yake ikawa inamuuma sana bint yake kwanini haolewi japo bint alikua haishi nyumban hapo alikua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za muda huu, Najua wengi mmelala lakini mkiamka mnipe mawazo ya kumshauri rafiki yangu kwani anadai mpaka muda huu hajalala hata usingizi umeruka kisa mkewe pale kwake kaja mgeni ni wifi...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Naandika huu uzi nikiwa kwenye uzuni na upweke mkubwa sana!!..sina raha nahisi maumivu makali moyoni mwangu yasiyoelezeka!!. Arovera mpenzi wangu... unasafiri unaenda mbali,unaniacha peke angu...
1 Reactions
96 Replies
7K Views
Inawezekana kuna tabia ambazo unazo lakini unatamani kuziacha lakini zinakushinda Inawezekana kuna mambo ambayo unayafanya na unasikia watu wanasema kuwa hayafai lakini unayaona kuwa yanafaa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
"Nimekuchoka,sikutaki,sikupendi na ninakuchukia na tuachane ila niambie na wewe kama nilivokuambia mimi kila mmoja achukue zake" huo ni mwisho wa kunukuu. Hayo ndo maneno nimeambiwa hata...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mimi ni msichana mwenye miaka 23 najishughulisha na biashara ndogondogo natafuta rafiki wa karibu wa kiume baadae mungu akipenda aje kuwa mume wangu Sifa *Awe ana umri kuanzia miaka 25...
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Unakuta msichana/mwanamke anajifanya mjanja sana na muongeaji sana lakini outing bill analipa mwanaume, huo ni mfumo dume la sivyo basi tu share hizo bill za Nyumba outing na matumizi, sijawahi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani natafuta mchumba niko Mbeya 0788532307
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Ndugu zangu kati ya wanandoa katika jamii inaonekana ndiye mwenye haki na sahihi kwenye mahusiano ya nje? Lakini ikitoke kwa mwanamke inaonekana ni kitendo kichafu na mtu huyu aonakana hafai na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
SIFA MUHIMU ZA KUZINGATIA UTAFUTAPO MTU WA KUISHI NAYE MARA nyingi vijana hupata taabu sana katika suala la kuchagua mchumba. Vijana wa kiume ndio hasa hupata wakati mgumu zaidi kwani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani sana waungwana nipo hapa kwa ajili ya kumtafta jamaa moja ambaye simfahamu lkn katika pitapita zangu juzi nikiwa kwenye gari nilikuta bahasha yenye ACADEMIC CERTIFICATE ambayo ilikua na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mithali 10:1 1 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumba.vu ni mzigo wa mamaye. Waione Ntuzu , Mtambuzi , ladyfurahia , Kaunga , charminglady , Samaritan AshaDii , Basluma...
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Hivi kweli jamani wivu ni dalili na alama ya upendo?. Au wivu ni ulimbukeni wa mapenzi?.Ama kunaaina za wivu?.Naombeni majibu ya kina katika haya, maana mara nasikia mtu kamuua mpenzi wake kisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninae nimpendae sana lakini najikuta nina approach wengine wengine na wengine na kuwa nao pia ...USHAURI TAFADHALI
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom