Mwanaume wa Kigoma

Mwanaume wa Kigoma

Lenin V.I.U

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
218
Reaction score
62
Wana Jf msaada wenu tafadhari, nina rafiki yangu anasoma chuo kimoja Dar yeye ni mchaga wa rombo, sasa kuna mkaka mmoja muha wa kigoma amempenda sana, kaka yule anataka amuowe sasa akaniomba msaada juu ya tabia za hawa watu wa kutoka kigoma huwa wako vipi.

Please mwenye experience na watu hawa hasa wa kiume, msaada tafadhari
 
Kama mtu amekuuliza haufahamu, ungejibu haufahamu then story imeisha.

Maswala watu mnakuja na mambo yanayowahusu halafu mnasema "rafiki yangu" "dada yangu" "jirani yangu" n.k TUMEWACHOKA. Sasa jiandae kurogwa na huyo muha wako.

MCHUNGUZI HURU
 
mchaga na muha mwambie hiyo combination haipo ataaishia kujifunza uchawi tu na kuishia kubaguliwa hasa wachaga hawapendwi sana makabila mengine yamefanikiwa kuwatenga ni bora atafute mchaga mwenzake
 
Mwambie siku hizi kuna tabia ya ubaguzi hasa wachaga wanabaguliwa sana!achukue tahadhari.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ye aongee na moyo wake haya mambo ya ushauri yamekuwa too much siku hizi
 
Hatuna shinda kabisa...genarally ni wavumilivu sana
 
Aolewe tuu. Mengine atayajua mbele ya safari
 
Wana Jf msaada wenu tafadhari, nina rafiki yangu anasoma chuo kimoja dar yeye ni mchaga wa rombo, sasa kuna mkaka mmoja muha wa kigoma amempenda sana, kaka yule anataka amuowe sasa akaniomba msaada juu ya tabia za hawa watu wa kutoka kigoma huwa wako vipi. please mwenye experience na watu hawa hasa wa kiume, msaada tafadhari

Faida pekee ya kabila iliyobaki ni kutambika, kama bado kupo. Siku hizi kabila ni jina tu. Utashangaa huyo kijana hata hicho kiha wala hakijui. Ni bora amwangalie yeye kama yeye na wala si kabila lake. Zamani zile watu walikuwa wanasema wachagga hawezi mauno kunako sita kwa sita lakini naamini hii leo si kweli hata kidogo. Stereotypes must die!!
 
Kama mtu amekuuliza haufahamu, ungejibu haufahamu then story imeisha.

Maswala watu mnakuja na mambo yanayowahusu halafu mnasema "rafiki yangu" "dada yangu" "jirani yangu" n.k TUMEWACHOKA. Sasa jiandae kurogwa na huyo muha wako.

MCHUNGUZI HURU

Halafu nasikia jamaa ni wabishi mbaya.
 
Kuna rafiki yangu kaoa muha
kweli yule dada anaheshima sana.
Yaani jamaa akikoroma tu,waifu anaanza kulia.
Ila upande wa wanaume ni watata wengi wanahistoria ya kumuacha mke wa kwanza,wenyewe wanaamini mke wa kwanza ni sehemu ya kujifunzia..Course work
so mwambie ajiandae kwa kila hali
 
Tatizo la hao watu huwa sio smart wameshazoea kuishi maisha magumu kwahyo ajiangalie mwenyewe amekulia kwenye hali gani ya maisha kwa sababu hao waha ni vigumu sana kubadilika
 
Kuna rafiki yangu kaoa muha
kweli yule dada anaheshima sana.
Yaani jamaa akikoroma tu,waifu anaanza kulia.
Ila upande wa wanaume ni watata wengi wanahistoria ya kumuacha mke wa kwanza,wenyewe wanaamini mke wa kwanza ni sehemu ya kujifunzia..Course work
so mwambie ajiandae kwa kila hali

ha ha ha ha! wewe ndiye uliye pewa talaka na muha!
 
sheeeeee mchaga wa rombo+muha=ERROR .....Change server
 
Wana Jf msaada wenu tafadhari, nina rafiki yangu anasoma chuo kimoja Dar yeye ni mchaga wa rombo, sasa kuna mkaka mmoja muha wa kigoma amempenda sana, kaka yule anataka amuowe sasa akaniomba msaada juu ya tabia za hawa watu wa kutoka kigoma huwa wako vipi.

Please mwenye experience na watu hawa hasa wa kiume, msaada tafadhari

mimi hapa, nipe namba yake, ntamuambia yf aongee nae, ataelewa tu!
 
Back
Top Bottom