Nataka kujua why sex before and not after marriage

chumvichumvi

JF-Expert Member
May 6, 2010
1,205
304
Wajamvini mimi nataka kujua kwanini siku hizi swala la sex limekuwa kama ni sehemu ya awali au tendo tangulizi kabla ya ndoa sababu kubwa inaweza ikawa nini?

Naombeni michango yenu.
 
wajamvini mi nataka kujua kwann cku hizi swala la sex limekuwa kama ni sehemu ya awali au tendo tangulizi kabla ya ndoa sababu kubwa inaweza ikawa nini

Naombeni michango yenu

kujaribu uimara wa gari,kama injini ni mbovu usinunue au ununue ukijua injini ni mbovu au imechoka sio unanunua gari liko kwenye karatasi unafika nyumbani unafungua unatest unakuta injini mbovu,cluch mbovu,gear box bovu nk.test well before buy.
 
Ya HALI AU MALI
MICHANGO IPO AINA NYINGI MKUU
 
Usifikiri watu wote wana mawazo kama yako, kwa wengine tendo la ndoa si kwa ajili ya kuoa, ni kujiburudisha tu, au we hujui kama lile tendo ni tamu. Kuna viumbe wachache sana tukiwemo sisi binadamu tunaofanya sex kama burudani, wanyama wengine wanafanya kwa ajili ya kuzaa.
 
mkuu umeshawai kufanya kazi gereji ......
 
Usifikiri watu wote wana mawazo kama yako, kwa wengine tendo la ndoa si kwa ajili ya kuoa, ni kujiburudisha tu, au we hujui kama lile tendo ni tamu. Kuna viumbe wachache sana tukiwemo sisi binadamu tunaofanya sex kama burudani, wanyama wengine wanafanya kwa ajili ya kuzaa.

najua c kila mtu anamtazamo sawa na wangu ndio maana nikaomba mawazo yenu
 
Sasa na wewe badilika, huwezi kukaa hivi hivi mpaka uoe, siku ya kuoa utakuwa huoni pa kuingiza, na kulenga mshale pajani, mazoezi muhimu kabla ya mechi.
 
...hii kitu ya kulalana kabla ya ndoa, mmmh!! It's just not right! Mtu anaoa/kuoelewa kisa jamaa anajua game vizuri, anaacha kuangalia mambo mengine ya msingi katika maisha.

...Ngono kabla ya ndoa yaweza kuwa RUSHWA ili kumfanya mwenzako ashindwe kuangalia ya muhimu

...Zawadi ndogo ndogo na zile kubwa ni RUSHWA, inamfanya mtu ashindwe kufanya maamuzi sahihi, na mwishowe kuolewa/kuoa mtu wasiyeendana.
 
wajamvini mi nataka kujua kwann cku hizi swala la sex limekuwa kama ni sehemu ya awali au tendo tangulizi kabla ya ndoa sababu kubwa inaweza ikawa nini

Naombeni michango yenu

Waneamua kufuata utaratibu wa magharibi wacha mungu awaadhibu sasa. Mungu aliyewaumba hapendi tabia hii. Ila wengi wetu tunapenda y nzungu kuliko ya mungu.
 
wajamvini mi nataka kujua kwann cku hizi swala la sex limekuwa kama ni sehemu ya awali au tendo tangulizi kabla ya ndoa sababu kubwa inaweza ikawa nini

Naombeni michango yenu

Kuepuka malalamiko baadaye:
Kibamia, bwawa la Mtera, hanifishi, analala kama gogo, anawahi kufika Kibo peak, sio msafi etc etc.
 
Ya HALI AU MALI
MICHANGO IPO AINA NYINGI MKUU

Hahhaaa MKUU SALT SALT

SI UNAJUA MICHANGO KULEKWENYE NANII UNAOMBWA MWENYE KUCHANGIA KWA HALI NA MALI

NKATAKAAKUJUA MWISHONI
NICHANGIE HALI AMA NA MALi
 
Back
Top Bottom