Siku zote kitu chochote kikiadimika lazima thamani yake ipande, hii ni principle dunia nzima.
SASA, namba ya wanaume ni ndogo sana huku wanawake wakizidi kuongezeka kwa kasi kubwa kwa mantiki...
Kuna kila dalili kwamba mwimbaji maarufu wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha wanatamani kurudiana, baada ya kuwapo mgogoro katika uhusiano wao wa ndoa, ulioingia...
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!
Nilisema sipost leo mnisamehe its a blue monday! Nimekuja kutoa machungu humu!
When I grew up, kulikuwa na cousin wangu kila siku anatoka usiku...
....:::Mulika mwizi wa mapenzi:::....
Walishasema vipo vya ku-share lakini sio mapenzi maneno ya wahenga hayo.
Katika mahusiano ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama unapogundua kuna mtu...
Takwimu zinaonyesha wanawake wapo wengi na wanaume tuko wachache duniani kote. Hivyo mwanamke ukiolewa tulia ukifumwa unazini utakuwa wa ajabu na ni vigumu sana kusamehewa.
.Habari wana MMU,.
Hatimaye nimeamini maneno ya wahenga kwamba ''mwanamke siyo ndugu yako''
Ndiyo maana haumii pale unapopatwa na maswahibu na mara nyingine anakuumiza katika mahusiano bila...
Habari wana MMU!
Swali hili ni kwa yeyote tu.katika harakati za kutafuta mahusiano ya kimapenzi,uchumba,au ndoa,utaona wanaume na wanawake wanakutana katika meneo tofautitofauti.
kati yao...
Habari za siku ya leo wanajamvi?
Leo nimekuja na hii mada from my own experience.
Siku moja nikiwa kwenye gari (daladala) natoka mihangaikoni nikakutana na mrembo mmoja. Story za hapa na pale...
Wanaume wengi tunawazalisha akina dada bila kuwaoa na mwisho tunawatosa,ni kama tunawafanyia majaribio kama tupo sawa.
Hawa wadada waliozalishwa wanapotaka kuolewa inakuwa shida mno hujikuta...
Uzoefu unaonyesha kuwa endapo patatokea tukio la mtu kuwa na uhusiano wa mapenzi na dada yake wa kuzaliwa na mama mmoja na baba mmoja basi ukifanya uchunguzi utakujagundua kuwa hao watoto baba zao...
Habari za mchana wana JF,
Naamin mnaendelea vyema na majukum yenu,
Mwenzenu, wiki iliyopita nilifikisha miaka 7 ya ndoa, ni jambo la kumshukuru sana mungu kwani siku zote nimekua na amani na...
Ndugu wapendwa waJF.
Nilikuwa na msichana niliyeanzisha uhusiano naye tangu 2009-2013.
Kwa mda wote huo alininyima uroda akidai hadi tufunge ndoa mwaka 2015 kwa kuwa bado anajipanga kimaisha ,na...
Habari zenu. Kwanza kabisa ningependa kusema mimi sina mtoto ila napenda sana watoto. Hapa nawalenga wale wenye watoto wa umri wa kwenda shule kuanzia chekechea hadi kidato cha sita.
Kwa muda...
Kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi zinaonyesha kwamba idadi ya wanawake wasiyoikubali miili yao hapa nchini ni kati ya 25 hadi 35, kwa maana kwamba ni wanawake 25 hadi 35 katika kila wanawake 100...
Nilimuwekea utaratibu mpenzi wangu wa kuchukua mahitaji yake katika maduka ya rafiki zangu kadri anavyohitaji halafu nikipata pesa naenda kulipa,
Akijisikia vipodozi ataenda kwa Roja na...
Hivi umewahi kujiuliza , ni jambo gani ulilomfanyia mpenzi wako nae angalau akajihisi anathaminiwa?
Hata sex kujiongeza huwezi , ni kama nguo inayosubiri kupasiwa vile...eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.