Ajabu ya wanaume kuwa na nyumba ndogo

Ajabu ya wanaume kuwa na nyumba ndogo

dibundile

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
92
Reaction score
13
Kwanini kuwa na nyumba ndogo uko ndani ya ndoa au utamu wa tunda huwa tofauti?

Lakini tunda si lilelile kipi kinachokufanya uende nje ya ndoa?

Na ninyi wezi wa waume za watu acheni hiyo tabia haifai.
 
Huwezi kula ugali na maharage siku zote, unabadilisha siku nyingine nyama, samaki nk!
 
Kwanini kuwa na nyumba ndogo uko ndani ya ndoa au utamu wa tunda huwa tofauti?lkn tunda si lilelile kipi kinachokufanya uende nje ya ndoa?na ninyi wezi wa waume za watu acheni hiyo tabia haifai

mkuu wewe ni mwanamke au mwanaume.
 
Unakuta nyumba kubwa,inaongea balaa,maneno 1000 Kwa sekunde!nyumba ndogo inakuwa cooling mechanism
 
King'asti,

huku ni kuumizana moyo asb asb.Hivi inawezeana ikawa kweli?

Hahahaaa ndo hapo wanaume mnanishangaza! unaumia moyo wa nn akati nyumba kubwa yenyewe ushainanga ina naneno 1000 kwa saa?
Ukiona wa nini wewe wenzio wanasema mke wa mtu kaninogea kumuacha siwezi!
Upo? Chepuka nichepuke ndo habari ya town!
 
huu mwandiko sijauelewa vizuri,ila nafikiri hadi mwanaume atoke nje lazima kuna sababu na mara nyingi source inaweza kuwa mwanamke,ingawa kuna wengine iko ndani ya damu,hata afanyiwe nini bado atatoka,ni hayo tu
 
ha ha ha ha ha raha jipe mwenyeweeeee... ukingoja kupewa itakula kwakooooo
 
Kwanini kuwa na nyumba ndogo uko ndani ya ndoa au utamu wa tunda huwa tofauti?lkn tunda si lilelile kipi kinachokufanya uende nje ya ndoa?na ninyi wezi wa waume za watu acheni hiyo tabia haifai

Hebu fikiria kile chakula kitamu unachokipenda, kwa nini bado huwezi kukila kila siku ? Inakuwaje unabadili mlo !!! Kuwa na small house sio kwamba huipendi Big house, bali kama ni kubadili mlo vile. Halafu pia wapo wale wa "hit and run" hawarudii ng'o !! Na hii dunia yenye maradhi ni afadhali hit and run, maana ukishaweka masikani ndio mwanzo wa kusema tumezoeana kana kwamba mnashinda, kulala na kukesha pamoja !!!
 
Back
Top Bottom