wakuu natumaini wote ni wazima, mimi ndo mara ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini, kuna binti''J"nilikutana nae kama mwezi umepita, kiukweli ni binti mrembo sana na ameumbika na tangu nilipomuona...
Babu yangu alikuwa na wake 7,mke wake wa 3 ALIMKUTA TAYARI ANA WATOTO 3 KESHAZALISHWA HUKO ALIKOKUWA,KWA BABU YANGU ALIZAA WATOTO 2,HIVYO TULIISHI PAMOJA KAMA NDUGU NA WATOTO WALE JINA LA UKOO...
Heshima kwenu wana MMU.
Nimeadimika sana hapa Jamvini ingawa huwa napitia kuzisoma post za wadau mara kwa mara.
Wakuu nisiwachoshe sana, niingie kwenye mada iliyonileta hapa.
Nina mpenzi...
Pengine unahusika na hili
na pengine ni mwanzilishi wa hili jambo kwenye ndoa yako/zako(4weddn@)
sasa basi kukumbusha tu
1kor 7:1-10
ndoa na iheshimiwe na watu wote
mke hana mamlaka juu ya...
WADAU NAOMBA MSAADA WA KUNIJULISHA WALIPO HAWA NDUGU ZANGU HASA CONTACTS ZAO.
Mimi ni mwalimu mstaafu kwasasa, ninaishi Dodoma mjini, leo nimekuja na uhitaji kidogo wadau, kuna ndugu...
Kwenu wanaume na wanawake wa jukwaa hili,
Hili jambo huniwazisha sana. Ni kawaida kabisa pale ambapo mwanaume anapotoka nje ya ndoa basi watu wote wanawake kwa wanaume watamlaumu mke wake kuwa ni...
Nimejikuta nimegonga mademu kama wa 4, wote baada ya kukaa kwenye uhusiano kwa miezi kadhaa ndio husema ukweli kuwa wameolewa.
mwanzo husema naishi na mama yangu mdogo au na dada yangu. nikimpiga...
Thanks for support thanks for private message that you got me, you have changed my world a lot. Thanks to those who paid a visit at my home I've got good real friends. For sure nimeacha hisia za...
Sio siri ujio wa simu ya kiganja umepunguza majonjo ya kutongoza. Siku hizi vijana wa kileo hawapati matatizo kama kupigwa na kakamtu, baba MTU au Dada mtu, zamani ilikuwa ni lazima udunde na...
Wiki ilopita nikiwa katika matembezi nikasikia jamaa wanasimuliana, eti mimi mwanamke akiniambia tu ana mimba basi namnyanyulia Barieer aondoke zake, nilicheka na kusikitika, nikawashangaa sana na...
Wana MMU kama tulivyosikia na kusoma; ndoa ya Flora na Emma imetikiswa sana.
Na kama jambo hili likibainika kweli katika jicho la kisheria basi ni dhahiri ndoa hii itasinyaa sana.
Mimi...
Baada ya kuwa katika uchumba kwa kipindi kisicho pungua miaka miwili tangu tuhitimu wote elimu ya chuo kikuu na binti mmoja mwenye asili ya mikoa ya kaskazini (killer-manjaro) nikaamua sasa acha...
Mchunguzi Mahiri ndani ya Kusini mwa jangwa la Sahara bado nipo na nitaendelea kuwepo huku nikiheshimu sheria zote jamiiforums.
Kuna njia nyingi sana za kumtambua mwanamke anayetafuta mwanaume...
Kama ilivokawaida kila mtu ana mpenzi wake wakumliwaza akiwa mchovu,wakumpenda kwa dhati,wakua rafiki wa karibu,wa kukujali na kukuthamini!
siku moja eti n mm ntapata mtu wa kunipenda...
Niligundua mke wangu anamahusiano na kijana mmoja ambaye nilidhamilia lazima nimtafute mpaka nimpate,nilichokifanya nikuingia kwenye google na kudownload huduma ya sms forwading kwenye simu ya mke...
Hii imemkuta ndugu yangu wa karibu aliyekuwa akifanyakazi ofisi fulani hapa nchini, Baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miaka kadhaa alikuwa amejikusanya weeeee pamoja na biashara zake akajenga...