Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wadada! Utanashati unahusika hivyo naomba kujua ni sehemu gani au duka gani ambalo unaweza pata jeans nzuri na mavazi ya kiofisi. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MME: Ooh! Natamani sana iwe hivyo. MKE: Vipi, wataka niondoke? MME: Hapana hata kidogo! MKE: Unanipenda? MME: Ndo maanake. MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu? MME: Siwezi huo upuuzi. MKE...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwanaume amwomba Mchepuko wake mchango wa harusi wakati huyo mchepuko ameachika na mume wake. Kaenda mbali zaidi kamkampain awe mwenyekiti wa kamati yake ya harusi, na sisi kama wajumbe tukakubali...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wana JF nisaidieni kwa hili.... Hivi karibuni nimeanza kazi baada ya kuhitimu chuo. Kipindi nikiwa nasoma nilikuwa sijihusishi na mambo ya mapenzi na wala nilikuwa sina mchumba kwa wakati huo...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Mimi nikijana nimekuja ktk hili jukwaa kumtafuta mpenzi anaye jua thamani ya mapenzi pia mwenye kujiheshimu sina vigezo vigumu awe mtafutaji wa maisha/awe anafanya kazi maelezo zaidi aje PM asanteni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Miss u jamanii mpo za masiku
0 Reactions
16 Replies
2K Views
umri wangu 28 mwanamke nae mtafuta atoke maeneo ya moshi,arusha kilimanjaro itakuwa poa kwan m npo maeneo haya kama upo tayar npm tubadilishane macontacts tayar kwa mawacliano.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja na watoto wake wawili, wameokolewa na wasamaria wema baada ya kufungiwa na mumewe kwenye nyumba bila huduma muhimu kwa miaka mitatu mfululizo kwa sababu ya wivu. Tukio hilo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani nyie wanaume embu jaribuni kutusamehe na sisi tunapo kosea. Mbona nyie mkikosa tunawasamehe mnadhani tuna moyo wa plastik. Sasa mbona mnatutesa hivi nikikosa na kwambia sasa ni shidaaa...
1 Reactions
76 Replies
9K Views
Utakuta mwanamke ulishamtongoza na akakukataa tena kwa kejeli na dharau, sasa baada ya kumkuta ya kumkuta anaanza kurudi ooh mi nakupenda ule ulikuwa utoto...pumbavu utoto wapi!? Mbona ushagegedwa...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Wanaogopa kuonekana lovbt zao ama?? kabla ya hapo walikuwa wanasuguana hadi migongo wapendwa nakwambia wewe usieolewa kuwa makini usipokemea haya yanakuja na kwako...leo hii ati baada ya miezi...
8 Reactions
51 Replies
7K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!! The Boss kaka yangu (nakuita kaka nataka kukunyima nini ujiulize) aliniomba nije na somethin positive, somethin constructive...
25 Reactions
89 Replies
10K Views
Jamani wana JF mimi nina kaka yangu anaishi hapa mjini. Nimekuwa na tabia ya kumaliza likizo nikiwa kwake, ila siku hizi sielewi ni kwa nini. Maana huyu shemeji (mke wake) amekuwa anapenda sana...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Baada ya kuturia nikiskilizia maumivu ya kutendwa hatimae leo nimerudi tena nna imani sitoumizwa tena Hivyo basi natafuta mchumba wa kike {girl friend}ambae atakuja kua mke wangu Umri wangu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam zako mwana Jf Wadau niko hapa kumtafuta mpenzi wakuanzisha nae hot love awe mkazi wa hapa dar sio mkoani jina kamili naitwa France umri Wangu 32 mimi ni tall majikunde mwembamba wastani...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hapa ofsin kuna mabinti watatu ambao kidogo wananivutia sasa katika chagua chagua nimekuta nshawaseti wote ila sasa kumalizia ndo napata wasiwasi maana wanakaa ofisi moja na nahisi nikila mmoja...
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari wadau? Binafsi nimekutana na wanawake wenye maumbile tofauti kule kwenye sehem zao kuu. Naomba tusaidiane wadau maana nashindwa kuelewa kama mwanamke akikeketwa huwa maumbile ya nanii yake...
2 Reactions
90 Replies
41K Views
Hope mko poa wanaJF Kutabaia ambayo nimeiyona na kuishuhudia na mpaka leo na shuhudia. Kuna wanawake unakuta yupo na mtu kwenye mahusiano lakini anachokifanya katika mahusiano yale ni kwa ajili...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Jamani mimi nimekuwa nikiwaza kugegedwa na mkaka ambaye ni naishi jirani nae. Mkaka mwenyewe sina mazoea nae kabisa je ni mapenzi au kwa sababu nina ugwadu? maana amenikaa sana kwenye akili...
6 Reactions
123 Replies
18K Views
Wakuu mimi kuna kitu kinanishangaza sana this days.zamani kidogo kwenye tendo la ndoa na mpenzi wako,ni lazima au ilikuwa ni desturi ukishusha lazima akuwahi na kitambaa ili akusafidhe...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom