SHIKAMOO PESA
Member
- Aug 13, 2014
- 91
- 10
Salaam zako mwana Jf
Wadau niko hapa kumtafuta mpenzi wakuanzisha nae hot love awe mkazi wa hapa dar sio mkoani
jina kamili naitwa France umri Wangu 32 mimi ni tall majikunde mwembamba wastani anaetakiwa awe mrefu wastani awe Bonge wastani rangi yoyote awemzima wa afya awe anayaweza mapenzi kumvumilia mme kufika kileleni awe mcheshi.
Awe na umri kuanzia 32 -40 awe mcha mungu jamani kama upo hapa Jf nakuomba uni pm ilikupeana mawasiliano zaidi na mengine mengi tuta yajadili ukisha ni pm
Asanteni sana JF