tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Utakuta mwanamke ulishamtongoza na akakukataa tena kwa kejeli na dharau, sasa baada ya kumkuta ya kumkuta anaanza kurudi ooh mi nakupenda ule ulikuwa utoto...pumbavu utoto wapi!? Mbona ushagegedwa sana et ndo ulete kwangu makombo?
Sasa ubaya wa vijana huwa hawakatai shobo kama hizi wengine wanasema kumkataa mwanamke ni uendawazimu, sasa kwa situation kama hii ukishatumika kuwa mpole endelea na maisha yako, kuendelea kufikiri eti utambadilisha mwanaume tena kwa kugawa nyapu ni kujidanganya!!