Ni mazingira gani unaweza kumpata mchumba?

msukwa

Member
Jul 19, 2011
33
4
Wana JF nisaidieni kwa hili....
Hivi karibuni nimeanza kazi baada ya kuhitimu chuo. Kipindi nikiwa nasoma nilikuwa sijihusishi na mambo ya mapenzi na wala nilikuwa sina mchumba kwa wakati huo. Hivi sasa ndo naanza maisha ila sijafahamu mazingira ambayo nikipitapita ntapata mchumba. Najua humu ndani kuna wanandoa, wenye wapenzi pamoja na wengine wenye uzoefu nadhani baadhi watakuwa walipitia huku. Jamani wana JF naombeni msaada wenu wa mawazo.
 
Bahati mbaya haina formula mahali popote unaweza kumpata hata humu JF.Ila mara nyingine huko huko kazini au katika social gathering.

Mchumba is someone you have things in common so maeneo unayopenda kutumia muda wako huko ni rahisi pia ukakutana na mtu ambaye definetely mtakua mna share interest eg.Club,sehemu za ibada,sehemu za mazoezi,sehemu za mapumziko etc
 
Wana JF nisaidieni kwa hili....Hivi karibuni nimeanza kazi baada ya kuhitimu chuo. Kipindi nikiwa nasoma nilikuwa sijihusishi na mambo ya mapenzi na wala nilikuwa sina mchumba kwa wakati huo. Hivi sasa ndo naanza maisha ila sijafahamu mazingira ambayo nikipitapita ntapata mchumba. Najua humu ndani kuna wanandoa, wenye wapenzi pamoja na wengine wenye uzoefu nadhani baadhi watakuwa walipitia huku. Jamani wana JF naombeni msaada wenu wa mawazo.
Dah! Kazi kweli kweli, sasa hivi labda uende chuo cha kutongoza maana inaonyesha we ni bonge la mshamba kwenye hizi fani(jokes bwana) usijali mjomba haya mambo huwa yanakuja automatically, cha muhimu we jichanganye na watu wote katika sehemu zao walipo mf chuch, kazini na uonyeshe upendo kwa hawa viumbe(unawatafuta) na uonyeshe unawajali.
 
kwan wakati unasoma chuo hukupa kakukuliwaza?hata mtaani kwako hakuna mabinti?nahisi wako kibao aukazin kwako?2naweza kkukwambia chukua wanamna hii kumbe akawa ni chui mwenye ngozi ya kondoo!ukajuta wana jf walinishauli vibaya, 2lia fanyamaamuzi kwaku2lia, kwan ktk maisha ya sasa ukibugi kwenye kuoa umehalibu kilaki2
 
bar,disco,church,mosque,street,working station etc!any where you can as far as mnalandana!
 
Kwenye kituo unachopandia daladala kwenda ofcn au ndani ya daladala,
wa mgahawani muda wa lunch wazushi kibao!
Kama hupandi daladala we jaribu kutupia macho ukiwa wapita,hasa asubuhi.
 
Kwenye kituo unachopandia daladala kwenda ofcn au ndani ya daladala,
wa mgahawani muda wa lunch wazushi kibao!
Kama hupandi daladala we jaribu kutupia macho ukiwa wapita,hasa asubuhi.

hiyo imekaa fresh "Da Pretty"
 
Dah! Kazi kweli kweli, sasa hivi labda uende chuo cha kutongoza maana inaonyesha we ni bonge la mshamba kwenye hizi fani(jokes bwana) usijali mjomba haya mambo huwa yanakuja automatically, cha muhimu we jichanganye na watu wote katika sehemu zao walipo mf chuch, kazini na uonyeshe upendo kwa hawa viumbe(unawatafuta) na uonyeshe unawajali.

sio kwamba sijui kutongoza ninachoongelea hapa ni mazingira ya kuwapata then niwatongoze
 
Shagiguku ndo mawazo gani hayo jamani. Mmmh mke mwema kwako anatoka kwa bwana Mungu, hebu tulia na Mungu, wakati ukifika utamuona tu.
 
Bahati mbaya haina formula mahali popote unaweza kumpata hata humu JF.Ila mara nyingine huko huko kazini au katika social gathering.

Mchumba is someone you have things in common so maeneo unayopenda kutumia muda wako huko ni rahisi pia ukakutana na mtu ambaye definetely mtakua mna share interest eg.Club,sehemu za ibada,sehemu za mazoezi,sehemu za mapumziko etc

nimekupata mkuu... ila unaweza kunitajia social gathering zaidi ya hizo?
 
Nenda club, danguro, sokoni bar utawapata kilaini.kanisani usiende koz wale ni watakatifu.

Very true, nenda kote ili ujionee wakoje then utachagua, maana ukimpata bila kujua kuwa kama huyo yupo pia Ohio Night utachizika mwisho wa siku utalia. Mzee heshimu Mungu na Kazi yako maana hawa viumbe hawana definition. Halafu tafuta room mbagala ndio useme unaishi huko.
 
Kwenye kituo unachopandia daladala kwenda ofcn au ndani ya daladala,
wa mgahawani muda wa lunch wazushi kibao!
Kama hupandi daladala we jaribu kutupia macho ukiwa wapita,hasa asubuhi.

ha ha haaa asubuhi utaingia mkenge watu wanakua wabandia,make ups etc jioni ndio powa,make ups zimeshade you can get the true colors
 
Tehe tehe najipigia debe mwenyewe sitaki mazingaombwe wala nini. Njoo kwangu mimi nina mapenzi ya ukweli mambo ya longo longo sina wala sitaki. welikamu sir!
 
Back
Top Bottom