Kwa wanawake wenye tabia kama hii

Kwa wanawake wenye tabia kama hii

Mafikizolo

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
3,487
Reaction score
1,628
Hope mko poa wanaJF

Kutabaia ambayo nimeiyona na kuishuhudia na mpaka leo na shuhudia.

Kuna wanawake unakuta yupo na mtu kwenye mahusiano lakini anachokifanya katika mahusiano yale ni kwa ajili ya masilahi yake binafsi.

Unakuta mdada yupo na mwanaume,mume wa mtu au hata sio mume wa mtu na wanakua katika mahusiano na unakuta wanakua katika Distance Love.

Sasa wanachokifanya wanawake au wadada wanamna hii ni siku ukikutana naye kimapenzi(sex) wewe ukaondoka zako kurudi mkoani baada ya mwenzi mmoja au miwili kupita anakumbia sijaona siku zangu, na anajua utamwambia akapime ili kujua kua anamimba au hana.

Najibu atakalo kupa ni kwamba anamimba kumbe hana mimba anakudanyanya isipo kuwa yeye anafanya hivyo ili apate pesa kupitia mimba fake, na kwavile mwanaume na yeye yupo mbali na huko aliko anafamilia yake na mke wake basi anaogopa hawara asije kuharibu kwa mkewe na anachokifanya mwanaume ni kumtumia pesa mchepuko wake ili alee mimba kumbe hamna chamimba nichanga lamacho.

Kuna mdada mmoja mpaka sasa ninapoa andika thread hii alisha mdanganya mwanaume kua anamimba yake,adi muda ulipofika wakujifungua alimwambia kua nishajifungua na mwanaume naye kwakua yuko mkoa mwingine na anafamilia na mkewe anachokifanya yeye ni kutuma pesa tu, na mke wa huyo jamaa ni mtata balaa sasa hataki mkewe ajue kua anamtoto nje ya ndoa.

Nachokifanya yeye nikutuma pesa akijua anamtoto nahuyo dada kumbe anadanganywa anamwambia mwanamke wewe mlee tu huyo mtot mpaka akiwa mubwa tutajua nini chakufanya hahahahahaha kumbe kaingizwa choo cha watotot anakalia poti yeye anatuma pesa mwenzie anafanyia mambo yake mengine,na mwanaume naye anaogopa kuja kumuona mwanaye feki aliye danganywa na hawara yake kwakua atamuagaje mkewe kwasababu mkewe mtata?

Teh teh teh kuchepuka nako kubaya wanaume muwe makini, mchepuko anapokuambia anamimba yako au pale demu wako anapokuambia anamimba yako hakikisha ujua au mwaenda wote akapime mwenzio anaweza kukuambia anamimba wewe ukamwaga ngwira kumbe yeye anaenda kununulia lesswig na kubandika makucha ya bandia ,mwisho wa siku anakuambia mimba imeharibika teh teh ukija kushtuka ushaliwa pesa ndefu.

Jamani wanawake wenye tabia hii yakuongopea kuwa una mimba kumbe nimimba hewa mnachokifanya sio tabia nzuri kwa kweli, mnafanya hivyo ilikupata hela duh mungu atawalaani.

Unamuacha mwenzio anaumiza akili anajinyima kwa ajili ya kulea mimba kumbe wamdanganya zipo njia za kumdanganya mwanaume ukapata pesa lakini sio usingizie unamimba wakati unajua fika huna tabia hiyo sio nzuri hata kidogo.

Na nyie wanaume muwe mwatulizana michepuko saanyingine sio poa na hata kama sio mchepuko wako ni demu wako uwe unafatilia basi anapokuambia nina mimba yako sio unatuma tuma pesa tu mwisho wasiku mwauziwa mbuzi kwenye gunia.

Hahahahahahah mpaka sasa baba wawatu anjua ana mtoto na kila kukicha anatuma hela hahahahahh tulizaneni ati mtaja kufa kwa presha kabla ya siku zenu.
 
Uwoga kweli m'baya, unaogopa mke,kumbe unaliwa pesa....kweli kikulacho hakiko mbali

teh! Teh! Teh! Nacheka kwa huzuni
 
Aliyewaumba ''Mungu'' anatuagiza WANAUME tuishi na wanawake kwa AKILI... Nikifikiria Yeye ni Mungu, halafu anatuambia wanaume eti japo huyu mwanamke mimi ndio nimekuumbia, lakini kaa naye kwa AKILI... ni statement nzito sana na inatulazimu wanaume tujiongeze sana.

Wanawake hawapo kama tunavyowadhania wapo kirahisi rahisi tu hivyo. Usiniulize kwa nini... tafuta mwenyewe.
 
I do agree with you hiyo statement ipo kwenye Bible
Aliyewaumba ''Mungu'' anatuagiza WANAUME tuishi na wanawake kwa AKILI... Nikifikiria Yeye ni Mungu, halafu anatuambia wanaume eti japo huyu mwanamke mimi ndio nimekuumbia, lakini kaa naye kwa AKILI... ni statement nzito sana na inatulazimu wanaume tujiongeze sana.

Wanawake hawapo kama tunavyowadhania wapo kirahisi rahisi tu hivyo. Usiniulize kwa nini... tafuta mwenyewe.
 
Wewe Khantwe wewe hahahaha jaribu uone yatakavyo kutokea puani, teh teh kuna mwingine alidanganywa na kuambiwa mimejifungua ila mtoto siorizki teh teh sicheki kama maruzri lakin mpaka leo jamaa anajua kuwa alikua na mtoto na hakuwa rizki kumbe hola kadanganywa!!
Daaah nimeipenda hiyo ngoja nifanye mchakato nizipate za burebure
 
Last edited by a moderator:
Well said Tized. Usipoishi na mwanamke kwa akili hamuwezi dumu hata miezi miwili!
 
Na mwanamke ni mtu mwenye siri nzito moyoni mwake anweza akakupa uongo huo ukazani kweli sasa usipojua jinsi ya kuishi naye atakusumbua
Well said Tized. Usipoishi na mwanamke kwa akili hamuwezi dumu hata miezi miwili!
 
Wewe Khantwe wewe hahahaha jaribu uone yatakavyo kutokea puani, teh teh kuna mwingine alidanganywa na kuambiwa mimejifungua ila mtoto siorizki teh teh sicheki kama maruzri lakin mpaka leo jamaa anajua kuwa alikua na mtoto na hakuwa rizki kumbe hola kadanganywa!!

Hahahah. Tena natafuta yule mwenye mke mkaliii..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom