Kituko cha mwaka: Unaweza kumwomba mchepuko wako mchango wa harusi?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Mwanaume amwomba Mchepuko wake mchango wa harusi wakati huyo mchepuko ameachika na mume wake. Kaenda mbali zaidi kamkampain awe mwenyekiti wa kamati yake ya harusi, na sisi kama wajumbe tukakubali japo twajua ni mchepuko wake.

Tuambiane kaka/dada unaweza kumwomba mchepuko wako mchango wa harusi?
Je wewe kama mchepuko umeombwa mchango wa harusi wa mke mwenza ilihali wewe ni wa kutumiwa tu utatoa?
 
leo jumapili, leteni basi hata habari za ukweli, na vitu laini, sasa unatupa tafakari ngumu na hii story yako.
 
Tunafanya jambo kutokana na makubaliano tuliyopeana ... naweza toa....
 
Teh kuna maza mmoja hapa nae alikuwa na sendoff ya binti ake wiki kama mbili hivi zilizopita
kwenye kamati kaweka njemba zake nne
katika maongezi si zikajuana kuwa zote zinamla huyo maza!!!!
heee kamati ikawa sio kamati ya sendoff tena ikawa kamati ya ngumi

kuna haja gani ya kuwaweka mahawara kwenye mambo kama haya mxyuuuu
 
mkuu hii siyo story, ni jana tulikuwa kwenye hiyo event.
 
Tunafanya jambo kutokana na makubaliano tuliyopeana ... naweza toa....

kama upo na mume yako, unaweza ukafanya kwa moyo ila kama upo alone, lazima karoho kakuume kidogo especially kama alikuficha, akakuambia dakika za mwisho mwisho.
 
Teh kuna maza mmoja hapa nae alikuwa na sendoff ya binti ake wiki kama mbili hivi zilizopita
kwenye kamati kaweka njemba zake nne
katika maongezi si zikajuana kuwa zote zinamla huyo maza!!!!
heee kamati ikawa sio kamati ya sendoff tena ikawa kamati ya ngumi

kuna haja gani ya kuwaweka mahawara kwenye mambo kama haya mxyuuuu

hahahaha....umenichekesha kweli! Bora huyu aliyemweka mdada kuliko huyu aliyeweka njemba 4, japo ni kastory lakini nadhani mmojawao akiwa mweka hazina lazima atokomee na hela.
 
Tatizo sio mchepuk, km anauwezo wa kuchanga Nampa kad, labda ye na kisirani chake tu asichange...
 
Teh kuna maza mmoja hapa nae alikuwa na sendoff ya binti ake wiki kama mbili hivi zilizopita
kwenye kamati kaweka njemba zake nne
katika maongezi si zikajuana kuwa zote zinamla huyo maza!!!!
heee kamati ikawa sio kamati ya sendoff tena ikawa kamati ya ngumi

kuna haja gani ya kuwaweka mahawara kwenye mambo kama haya mxyuuuu

Hiyo kali... haki ya nani!
 
kama upo na mume yako, unaweza ukafanya kwa moyo ila kama upo alone, lazima karoho kakuume kidogo especially kama alikuficha, akakuambia dakika za mwisho mwisho.

Agreement muhimu ifuatwe
 
Teh kuna maza mmoja hapa nae alikuwa na sendoff ya binti ake wiki kama mbili hivi zilizopita
kwenye kamati kaweka njemba zake nne
katika maongezi si zikajuana kuwa zote zinamla huyo maza!!!!
heee kamati ikawa sio kamati ya sendoff tena ikawa kamati ya ngumi

kuna haja gani ya kuwaweka mahawara kwenye mambo kama haya mxyuuuu

Hahahahhhhahhhhhahahh
..

Kwahiyo ikawaje baada ya ku bum! ku bammm!! . nini kiliendelea😀
 
mchepuko ye anachohitaji matunzo yasipungue tu..!! sambamba na mizinga isiwe rejected anapohitaji!
 
Teh kuna maza mmoja hapa nae alikuwa na sendoff ya binti ake wiki kama mbili hivi zilizopita
kwenye kamati kaweka njemba zake nne
katika maongezi si zikajuana kuwa zote zinamla huyo maza!!!!
heee kamati ikawa sio kamati ya sendoff tena ikawa kamati ya ngumi

kuna haja gani ya kuwaweka mahawara kwenye mambo kama haya mxyuuuu

Ingemalizikia kuwa kamati ya mazishi
 
Teh kuna maza mmoja hapa nae alikuwa na sendoff ya binti ake wiki kama mbili hivi zilizopita
kwenye kamati kaweka njemba zake nne
katika maongezi si zikajuana kuwa zote zinamla huyo maza!!!!
heee kamati ikawa sio kamati ya sendoff tena ikawa kamati ya ngumi

kuna haja gani ya kuwaweka mahawara kwenye mambo kama haya mxyuuuu

Umejifunzia wapi kuandika neno hili? Nami nataka nimlete mke wangu
 
Back
Top Bottom