Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi JF. Kutokana na hali ya joto niliamua kusitisha kuvaa nguo za ndani, pia hali ya kutengenezea tengenezea vizuri nguo za ndani (yaani unakuta imepanda mara inabana) imenipelekea kusitisha...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi sita sasa. Lakini hii yote ni kwa sababu ya mimi kuwa mvumilivu na kujipa moyo kuwa nitaweza kumudu kuwa nae. Tatizo ni mawasiliano yangu mimi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Im a man of 33yrs old, a degree holder, self employed looking for a woman to marry me. A woman who is ready must have the following characteristics. 1. Ready to test hiv. 2. She should be 24-30yrs...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Jmani huyu dada anatafuta mchumba karibuni wanaume
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mambo vipi wanajamvi wa MMU na poleni na starehe kwa wale wala bata wenzangu, kusema ule ukweli nimewamisi sana watu wangu ukizingatia ni kipindi kirefu tangu nifunge ndoa na MY SWTY HEART...
3 Reactions
110 Replies
11K Views
wewe ni mnene mweupe njooo tuzungumze
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana nimetoka zangu mihangaikoni niko sebuleni wife yuko jikoni...mara ikaingia sms kwny simu yake, maana kama kawaida ya wanawake simu anaiacha maili 800. Nikajikuta napata ushawishi wa...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Mke wangu kanuna ana kama siku ya nne sasa, yani kwa siku tunaongea maneno yasiyozidi 20 tu. Kisa ni kukuta namba ya x wangu, niliambiwa kapata matatizo nikaamua kumpigia ili nimpe pole na kwa...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Jana katika harakati za kupanda daladala niliona vijana wawili wakimshika makalio dada mmoja kila akijaribu kunyanyua mguu kupanda daladala. Dada yule alikuwa kajaziajazia neema za allah na...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooo! Kuna hii tabia haswa mjini ya wanaume kuwa na uchu wa fisi kutaka kula kila kinacholika maadamu tu kinapita kooni! Unakuta mtu mzimaaa kwa...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Sijui ni kwa nini inakuaga watu wengi wanaona vigumu kutamka anakaa kwa shemeji yake, nakumbuka hata mimi nilishakuaga muhanga wa hii kitu, nakumbuka wakati nakuja mjini nilikua nikiulizwa nakaa...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa...
0 Reactions
94 Replies
12K Views
Mambo vp wadau, mpo. Ni hivi one day natoka kwa geti kuelekea job, ile kutoka tu nikameet na mrembo mmoja, kila idara kweli alikuwa kajaaliwa, yes mwanaume nkajivuta nikampa salaam hakuchuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU wote Nimeona leo nilete mrejesho wa kile nilichokisoma humu jukwaani na nikaamua kufanyia kazi. Katika kutembelea jukwaa hili nilisoma mada moja juu ya wanaume kutovaa nguo...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wana jf mimi ni mgeni humu najitokeza leo kuomba ushauri nilipata mpenzi takriban miezi mitatu iliopita katika mtandao maarufu sana unaokutanisha wake kwa waume wanaohitaji marafiki na...
0 Reactions
130 Replies
11K Views
CHONA wa CHILONWA! Tuliooa tuna kazi kubwa! Ni hivi, kuna mdada mrembo na ana shule yake ya kutosha kichwani, mke wa mtu, ana kazi yake, kuna magumu anayapitia, nikawa ni miongoni mwa washauri...
6 Reactions
90 Replies
9K Views
Katika maongezi na jamaa zangu. Moja amesema, labda kama msichana ni bikra hapo sawa. Kama siyo bikra kuna haja gani ya kusubiri. Jamaa yangu wa pili yeye amesema siyo vyema. Ni sawa na kujenga...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Kuna dhana nimekuwa nikiskia kwamba ukifanya mapenzi kwenye chombo cha usafiri kama gari nk. kuna uwezekano mkubwa wa chombo hicho kupata misukosuko au ajali kabisa. Kuna dogo mmoja mpwa wangu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
MARRIED OR NOT, YOU SHOULD READ THIS ... “When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I’ve got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Jamani wakubwa nimeshuhudia mambo haya yakifanyika jana usiku wa tarehe 14-08-214 saa 2.00 baba mmoja tena mtumishi wa umma ambaye ni dereva wa gari la SU mali ya wizara ya kilimo na mifugo hapa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom