Kwanini wanandoa wengi hawaogi pamoja?

Kwanini wanandoa wengi hawaogi pamoja?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,241
Wanaogopa kuonekana lovbt zao ama??

kabla ya hapo walikuwa wanasuguana hadi migongo wapendwa nakwambia wewe usieolewa kuwa makini

usipokemea haya yanakuja na kwako...leo hii ati baada ya miezi sita mke anaona mgongo wa mumewe anasema

hny mbona mgongo mchafu hivi.......hizi ni roho muwe nazo makini sana ni bora msijaribu kitu mnachojua amuwezi kuendelea nacho

kuna mmoja alidai ati nimeogopa mumewangu akiniona tumbo langu kubwa baada ya kuzaaa shameeee shameeee

Hii ni kwangu nakwambia na aijatokea kwako tu...mama didy nae alitaka leta hii habari...nikakaa kimya nikamwita

nikamwambia unajua hili tumbo liko hivi sababu yangu....hii mistari ni sababu yangu so nipe muda niangalie tunafanyaje kuanzia kesho nakuitaji asbh bafuni akuna wakunisugua na ujinga sitaki

tukatafuta jamaa wakatupa mafuta na limkanda limoja akishauriwa na mazoezi leo hii shwari kabisa
 
Ulitaka tufikiri nini kwenye huu uzi wako? Kisha soma kabla hujairuhusu kuja kwetu kwani kiswahili chako si fasaha. Awaogi=hawaogi.
 
Kama kukojoa twakojoa wote kuoga tu tushindwe kha!!!!!!
 
Kama kukojoa twakojoa wote kuoga tu tushindwe kha!!!!!!

Kwenye kukojoa kila mtu anakuwa busy ila kwenye kuogeshana ni kama kuchunguzana hivi....mana hata mim napomwogesha mtoto ndiyo wakati wa kumchunguza....kama kuna mahala kaumia ama panamuuma...ama ana lolote mwilini....
 
ngoja nioe nitakuja kusema kwanini. kwa sasa wacha nisome tu comment zenu
 
Kwenye kukojoa kila mtu anakuwa busy ila kwenye kuogeshana ni kama kuchunguzana hivi....mana hata mim napomwogesha mtoto ndiyo wakati wa kumchunguza....kama kuna mahala kaumia ama panamuuma...ama ana lolote mwilini....

Mbona mi sioni tatizo kuoga wote tena kuogeshwaa eeee
 
Back
Top Bottom