Habari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.
Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua...
Siku hizi idadi ya watoto wa kike wanaoanza ngono mapema ni kubwa kuliko inavyofikiriwa. Lakini pia kuna ushahidi kwamba, wale watoto wa kike wanaoanza ngono mapema wanakabiliwa na matatizo mengi...
Ndugu,
Mimi kama mwanadamu wa kiume, ninapenda sana kuona chupi ya msichana au mwanamke lakini pia napenda sana kuona matiti ya binti/msichana/mwanamke. Jambo hili si utani hata kidogo, napenda...
Najitokeza hapa maalumu kwa jambo moja tu, Natafuta mke mwema, mcha mungu, awe mfanyakazi na awe na umri wa kuanzia miaka 20 -26, aliye serious tu.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28...
Ndugu wanajamvi wa MMU
Napenda kuleta muswada huu hapa kwa majadiliano.
Nimefuatilia kwa kiasi fulani kuhusu ufanisi wa hizi kozi zinazoitwa kitchen party na bag party na kugundua kuna upungufu...
Katika mwezi huu tegemea moja au baadhi ya yafuatayo kwako.
1. Demu uliyekuwa unamtongoza kwa muda mrefu akikukatalia huu mwezi atakukubalia
2. Mwanaume uliyekuwa unamtaka mda mrefu atajileta...
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima.
Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo;
Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima.
Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo;
Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
Naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao.
Masikini mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa...
Habari zenu wana jamvi?
Kuna kitu kinanichanganya ni kweli hamna waoaji siku hizi au wanawake wanachagua sana?
Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta...
Kila mtu ana changamoto yake ambayo ameipitia,kila changamoto ni nzito kwa mhusika lakini kuwa nzito haina maana kuwa hakuna mlango wa kutokea
Kuna watu wameshapata changamoto za aina mbali mbali...
Wakuu, kuna hisia mara nyingi kuwa mtu mrefu au mfupi wana tabia fulani fulani kimahusiano na wenzao. Huu utafiti nilio unakili umejikita kwenye kuonyesha mahusiano ya kimo cha wanandoa na urahisi...
Kuna dada mmoja nimetokea kumpenda na kwa dalili alizonionyesha ni kwamba hata yeye ananipenda. Tumekuwa kwenye mahusiano karibia miezi sita sasa. Juzi kati aliugua na kulazwa na kwa mshangao...
Habari wana JF,
Suala la usaliti katika ndoa limekuwa ni tatizo sugu.Pendekezo langu ni kwamba mtu akishikwa anazini na mke au mme wa mtu afungwe tairi amwagiwe petrol kisha apigwe kiberiti...
Mimi ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 natafuta rafiki Wa kike ammbae tukikubaliana tuwe wachumba. Nafanya kazi katika kampuni ya mawasiliano hapa Dar. Aliyeteyal ani Pm
Habari za asubuhi wana~MMU, Ni kwa rehema za Mwenyezi Mungu umepata tena muda wa kuchat.
Napenda kuwashirikisha jambo fulani ili tuone suluhu yake ni ipi, na pia kwa wale wanaofanya hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.