Sometimes tunaishi nje ya malengo tuliyojiwekea

Kwahiyo malengo ya Angel yalikuwa ni kuolewa na Joni? Ila kumbuka malengoyako ni tofauti na malengo ya Mungu.
 
Kuna vitu vingine ni mipango ya mungu lakin vingine tunajitakia sisi wenyewe na ndio maana ndoa nyingine zinavunjika kwa wanandoa kwasababu hawakuwa wanapendana ila walioana kwasabu maalumu §duppyconqueror
 
Kama ni Mpango wa Mungu na iwe hata kama haikuwa chaguo langu, mana Mungu alijua lililo jema kwangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom