Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume mara nyingi ni wakimya sana na ni ngumu kufunguka haswa kwa wachumba/wake zao let me give u 7 ways to get your man to talk. 1) Just let him be and join him in being him. How. I mean...
12 Reactions
113 Replies
9K Views
Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana. Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki. Kwa kweli ni huzuni...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
MUME ADAI TALAKA BAADA YA KUSHINDWA "MAJUKUMU" Bwana mmoja jijini Mumbai nchini India, amepewa talaka yake, baada ya kulalamika kuwa hawezi kukata "kiu kubwa" aliyokuwa nayo mke wake ya kufanya...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Mimi ni msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Nitatumia majina yasiyo halisi kwenye hii habari ili kuleta mrejeo ulio sawa. MWINDA na MWADAWA walianza mahusiano wakiwa chuo cha uuguzi, wakiwa mwaka wa mwisho kumaliza...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
I hate WhatsApp na Mitandao mingine kama fb from the bottom of my heart (nipo huko kwa sababu kuna some meaningful contacts), lakini acha tu niwepo, maana wakati mwingine hii mitandao inanisaidia...
17 Reactions
162 Replies
33K Views
wanaJF natafuta msicha mrefu mrembo msomi mkristo anayejiheshimu umri awe 18-26yrs. kazi yangu nimjasiria mali. NiPM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na hasa wadada warembo wa MMU,poleni na majukumu.i'm not an active member of this site,just logged in for a special mission. I'm tired of of this lonely life, so i have come here to look...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Hellow friend,mimi ni msichana mwenye miaka 25,natafuta m2 aliyetayari kunioa. sifa awe na miaka kuanzia 27-33 awe na elimu kuanzia degree1 au mjasiliamali mwenye mapenzi ya kweli awe...
1 Reactions
21 Replies
13K Views
1. Wewe ndie nyota yangu,usiku wamulikia. Uniachi peke yangu,ukanacha ninalia. Nikabaki peke yangu,mbali ukanikimbia. Nakupenda ewe wangu,kwengine siwezi kwenda. 2. Wewe...
0 Reactions
8 Replies
40K Views
Mimi sina cha kuongeza,picha inajieleza.
1 Reactions
74 Replies
10K Views
WORDS FROM A FATHER TO A SON ABOUT MARRIAGE 1. My son, if you keep spending on a woman and she never asked you if you're saving or investing, and she keeps enjoying the attention, don't marry...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna haka ka mchezo ka wanawake, eti ukimpiga mistari akaingia line basi anakuambia tukapime, wanaume wengi wamekuwa wakijikwaa wanapokutana na hiki kisiki. Leo nitawafumbua jinsi ya kuking'oa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Makazini to be exact, na mkishapatana how do you balance between work and relationship? Athari zipo au hakuna? Mawazo yenu wakuu
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Both men and women have always had difficulty understanding each other since the beginning of time. we now have a pretty good idea why men and women think different. Here's the transcript of...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wanajf natafuta msicha mrefu mrembo msomi mkristo anayejiheshimu umri awe 18-26yrs. kazi yangu nimjasiria mali. karibun
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Nina rafiki yangu mmoja aliniomba nimsindikize kijijini kwao. Tulipofika huko tulikuta binti wa jirani na familia yake kamkimbia mumewe baada ya miezi mitatu ya kuolewa. Wazazi wa pande zote...
1 Reactions
90 Replies
12K Views
Mimi ni kijana ninayejitambua, natafuta mpenzi ambaye ataniondolea upweke nilio nao aliye tayari tuwasiliane sasa hivi.
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Soma Siginecha yangu.
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Kwa mimi naelewa kuwa Kila mwanamke ni Wife Material ila tu inategemea na Which material you need.
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom