Wanawake wanataka ndoa hawapati, ni kweli hamna waoaji?

Wanawake wanataka ndoa hawapati, ni kweli hamna waoaji?

selestei

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
243
Reaction score
60
Habari zenu wana jamvi?

Kuna kitu kinanichanganya ni kweli hamna waoaji siku hizi au wanawake wanachagua sana?

Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta mwanamke mpaka miaka 33 hana hata mchumba wa kusingizia.

Na ni wengi mitaani tunawaona na wengi wao wakiona umri unazidi basi wanaamua kuzaa na kuwa single mums.

Nyie mnaonaje ni tabia hazikidhi mwanamke kuolewa?

Au ni gharama za harusi?

Wanaume please please muoe watoto wasio na baba wanazidi kuongezeka.

Na hamuwatendei haki wanawake.
 
Ukikutana na mwanamke siku hizi anakuuliza maswali haya; baby au driving? Baby umejenga? Baby una masters? Baby utaninunulia Gari na iphone5? Baby nipeleke dinner Serena,. Ndio hiki kinachiwafanya wanawake wengi wabaki kuwa manungayembe
 
ni haki yap walie vijana wa kiume hawaoi cku hizi alafu uwiano ni 1:9 KE ni wengi mno. ha ha ha wajitambue ukipata shirikilia wasijifanya wajanja watakalia kutumika kma condom
 
Walijifanya wanachagua sana tukawacha waendelee na uchaguzi wao sintuko busy kidogo dunadili na kazi ukitongoza tu kabla ya yote baby nina njaaa
 
Ukikutana na mwanamke siku hizi anakuuliza maswali haya; baby au driving? Baby umejenga? Baby una masters? Baby utaninunulia Gari na iphone5? Baby nipeleke dinner Serena,. Ndio hiki kinachiwafanya wanawake wengi wabaki kuwa manungayembe

ni kweli mkuu na ME tuwe makini tunatumika sana mwisho wa siku kakiona mambo hayapo vizuri unaachwa kanakimbilia kwa mwingine hatima yake ndounaona watu wanauana na kulipuana na vitu vya moto....
na hao dada zetu wasile sana vitu vya watu mwisho anakimbia coz wanaume wengi tunatabia ya kuwekeza kwa mwanamke ukishaamua kuwa nae .
 
Sehemu yoyote ile ambapo kuna mabadiliko ''ima ya kiuchumi au ya kisayansi'' huathiri mila na desturi tulizozizoea. Mm naamini kuoa na kuolewa si suala la kipaumbele kwa jamii ya leo. Hili litaendelea kwa kipindi kirefu kwa sababu leo heshima ya mtu ktk jamii si kuwa na familia yenye kuheshimika bali ni kuwa na vitu[mali]. Wengi walio ktk ndoa wamekuwa watu wa kulialia na kuzilaani ndoa zao kana kwamba ni kitu kisicho na thamani na kinachochangia upotevu wa furaha na amani ndani ya nafsi zao.
 
mi tarajia kuoa nikiwa na miaka 21 au 22 saiz nina mia 18 nina mchumba ambaye 2mepanga kuoana xo mda ukifisha naoa faxta. cha msing ni kuandaana mapema na mpenz wako
 
WAnawake wapo wengi ndo manawanaume tunaringa,mwanamke ukijifanya mjuaji, unapigwa chini ntatafuta mwingine wa kuoa......
 
Kwanza nikukosoe mwandishi,akuna mtoto asie kuwa na baba,pili wanaweke wengi wanashindwa kuolewa kutokana na matabia ya apa na pale

kilaza ww kwani yy kasema kuna mtoto asiye na baba ama ndo umeamua kujifanya hamnazo?
 
Ukikutana na mwanamke siku hizi anakuuliza maswali haya; baby au driving? Baby umejenga? Baby una masters? Baby utaninunulia Gari na iphone5? Baby nipeleke dinner Serena,. Ndio hiki kinachiwafanya wanawake wengi wabaki kuwa manungayembe

Hahaha,, Sasa ukimkimbia utakuwa umemsaidia?? Su umwambie tuu kuwa huwezi mudu anayoyataka ila kumpenda wampenda..
 
Ukikutana na mwanamke siku hizi anakuuliza maswali haya; baby au driving? Baby umejenga? Baby una masters? Baby utaninunulia Gari na iphone5? Baby nipeleke dinner Serena,. Ndio hiki kinachiwafanya wanawake wengi wabaki kuwa manungayembe
Umegonga ikuluuuuu!

THE LIONESS PHILOSOPHY! NO MATTER THE ECONOMIC STATE OF THE JUNGLE I WILL NEVER EAT GRASS!
 
ni haki yap walie vijana wa kiume hawaoi cku hizi alafu uwiano ni 1:9 KE ni wengi mno. ha ha ha wajitambue ukipata shirikilia wasijifanya wajanja watakalia kutumika kma condom

'Ukipata shikilia' kweli mkuu hili nalo neno
 
mi tarajia kuoa nikiwa na miaka 21 au 22 saiz nina mia 18 nina mchumba ambaye 2mepanga kuoana xo mda ukifisha naoa faxta. cha msing ni kuandaana mapema na mpenz wako

Pole sana Dogo, 78% ya wanaume huwa tunakuwa na ndoto km zako, lakini mambo ni tofauti sn na unavofikiria, mapenzi yana challenge nyingi sn. Uwezekano wa ww kumuoa Huyo ulienae ni 10%. Jiandae kisaikolojia kwa c mkeo
 
Ukweli ni kuwa mabinti wengi hawajaandaliwa au hawajiandaa kuolewa.Unakuta binti hata kupika hawezi kulipualipua tu,hawezi kufua nguo hata zake mwenyewe nguo za wiki hii zinachanganywa na za wiki ile kisa anachat na friend unafikiri kwenye ndoa kunakuchat,kwenye ndoa majukumu kwanza kuchat baadaye.

Wengi wanakuwa na uhusiano na maboy friend ambao wala si waoaji bali wamegaji tu so waoaji wa kweli wakiona amegandwa na mtu wanajiweka pembeni.

Ulimbukeni kuigiza maisha ya juu hata kama kwao choka mbaya ukikutana naye anajitutumua aonekana wa matawi wanaume tukiona hivyo unajua hakuna mtu hapo.

Ulimbukeni wa mitandao mara leo katupia picha yuko nusu utupu,mara matiti yako nje unatumia na kuacha huyo, hafai kuwa mke wa mtu hana hata haya hiyo picha ya utupu hata kakababa zake wanaiona facebook unategemea alee watoto kwenye maadili gani?

Waoaji wana chunguza na familia anakotoka binti unakuta mama mkwe mwenyewe kajifenyela kinguo juu ya magoti,mdomo kama kachovya kwenye damu kwa nini usitoke bila kuaga.

Watasubiri sana waoji wanataka binti aliyejiandaa kuolewa.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 
Why buying the whole cow if you can get milk peke yake.... Sababu sio kua wanawake wamekua demanding au tabia au sijui nini...lets be honest..nowdays...kijana anaweza kupata kila kinachopatikana kwenye Ndoa akiwa bado single.... sex,romance,etc.. sasa ndoa ya nini/

hao wanawake demanding hata zamani walikuepo...tofauti kubwa kati ya miaka ya zamani na sasa ivi..ni kuwa sex imekua soooo cheap...you can get it anywhere..tena sometimes for free na manjonjo kibao. ukweli ni kua ...miaka 10 inayokuja...ukiskia mtu anaoa...utakua unashangaa...maana kitakua kitu nadra sana..Binafsi sijaoa wala sitamani/sina plan ya kuoa...i think being single is cool...kwa miaka ya sasa ivi...its the best less stressful life..im talking from expirience.
 
Back
Top Bottom