Habari wana JF,
Suala la usaliti katika ndoa limekuwa ni tatizo sugu.Pendekezo langu ni kwamba mtu akishikwa anazini na mke au mme wa mtu afungwe tairi amwagiwe petrol kisha apigwe kiberiti hadharani kama watu wafanyavyo kwa wezi wengine, Pia mtu akishikwa na mke/mme wa mtu aulizwe vizuri aseme nini kinachompeleka kugegedwa nje ya familia ili itafutwe dawa ya tatizo ya kudumu kwa tatizo lake.
Wadau toeni michango yenu ili kuhakikisha tatizo hili linaondoka maana lilikuwepo tangu enzi za kina Daudi ambaye naye alimgegeda mke wa Nathani.
Karibuni kuchangia,