Habari za jumapili,
Leo nimeamua kuwasimulia maswahibu yaliyowapata kaka zangu wawili kwenye ndoa zao ili liwe somo kwa wale ambao hawajaoa kama mimi.
Kaka yangu huyu ni banamu yangu nitampa...
Habari zenu wakuu,
hivi linapokuja suala zima la kutafuta mke au mume dini huwa haizingatiwi?
maana kuna matangazo humu huwa yananishangaza, unakuta mtu anabandika katangazo cha kusaka mke/...
Wadau habarini za siku.
Katika pitapita zangu, na kujionea maisha ya wanaume wenzangu, nimegundua kuwa wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wapole ambaye akijadiliana nae jambo hapandi juu kama...
Hakuna shule yenye mitihani migumu kama ndoa na ndio maana unapewa cheti cha ndoa kwanza halafu mitihani yake unaikabili baadae kama ingeanza mitihani kwanza nina imani wengi wangetoroka shule na...
Hivi ni sawa mtu yuko tayari kuoa hana hata cent anatarajia michango ya washkaji..?....Harusi bomba ni ile unaandaa kila kitu unaita tu washkaji kushuhudia na kukupongeza kama wataamua kukupa...
Habari zenu marafiki, nimekuwa najiuliza hivi hii ni tabia, desturi,sheria au kujiendekeza tuu.
Utakuta mdada anafanya kazi na anapata mshahara mzuri lakini mdada huyo kutwa kuomba hela kwa...
BAADA YA KUCHUNIANA KWA MUDA MREFU,
MPENZI WA KIKE ANAAMUA KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii...
Katika familia au pengine maisha ya ndoa kupata watoto wa KIKE na wa KIUME ni furaha sana.
Familia ikipata watoto wote wa kiume mzazi wakiume yaani baba huona poa tu.
Familia ikipata watoto...
asiwe mnene
umri wowote
mrefu ni bora
mimi ni mrefu, sina kitambi, nina pesa zangu, watoto ninao, nataka wa kustarehe naye tu sio kuoa. karibu mwenye nia ani pm.
Habari zenu marafiki?
Kwa kuamini busara hekima na weledi wa wanajamvi mliosheheni humu ndani, Wake kwa waume, Wazee kwa vijana, Magwiji kwa Mamanju, Wezi wa Mapenzi.
Kwa taadhima na mhemko...
Hivi sasa wataalamu waliobobea wamethibitisha pasi na shaka kwamba kwenda utupu yaani kwenda kikomandoo kuna faida nyingi tofauti na jinsi inavyofikiriwa.
Kutojisitiri na nguo ya ndani...
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati.
Mwenye kupenda maendeleo...
Habari wadau Baada ya kuweka tangazo humu la kutafuta mchumba,napata usumbufu mwingi sana kutoka Kwa kina dada humu.
Napenda kuwaambia wadada humu nawapenda ila siwezi kuwa nao wote.
Ni hayo tu...
Naomba ushauri dem wangu nimezifuma msg kibao za bwana wa nje nilipomuuliza akakana badae alikili kuchepuka! mara kusachi kwenye vibegi vyake nakuto condom zaina tofauti sasa mm imenichanganya...
Habari wana MMU?
Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I...
Humu ndani watu wanatongozana. Ni vizuri ila mimi ninaweza kusema siwezi kutongoza nisichokiona hata japo kwa picha iliyo kamili. Kuna ndugu yangu wa kike alitongozwa na mtu kwa picha tu na ndugu...
Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.