Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

emtnesss™ wrong turn
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Asubuhi ya leo nimeshangaa sana. Nilikuwana na punje 3 za mahindi nikawarushia kuku wangu 6 (mitetea 5 na jogoo 1). Nilichoshuhudia ndo kimenifanya niandike huu uzi. Niliporusha zile punje...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Naamin mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwa point, Nina Shost yangu kifupi tunashibana sana ila mwenzangu ni Mke Wa MTU kaolewa miaka 3...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Habarini wadau wote Natumai mko wazima buheri wa afya na mnaendelea na kazi zenu vyema na wale wanaosoma vilevile Marafiki zangu imenibidi niongee nanyi haya machache ambayo nimeona mahali...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Utakuta mrembo katoboa zaidi ya matundu matatu sikio moja,au vipini kibao masikioni. Wengine hereni kubwa kama ringi ya baiskeli. Toboa sikio tundu moja na kipini kidogo tu inatosha au usitoboe.
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Habari zenu wana jamii, poleni na majukumu. Kuna kitu kinanitatiza ni bora mnisaidie mawazo niwe na amani. Binafsi nina kanuni zangu flani za maisha, na kuna baadhi ya mambo ambayo ni binafsi...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza sipati majibu, embu nijuzeni wadau.
0 Reactions
53 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu. natumai mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kulipeleka mbele gurudumu la Tanzania. Kuna hiki kitu huwa najiuliza lakini sipati jibu, hivi kwanini wadada ambao wana 30 na...
5 Reactions
195 Replies
19K Views
Hi wanaJF Naomba ushauri wenu Girlfriend wangu ambae mwanzo mahusiano yalikuwa kama utani tu lakn kadr sku zlvyo zd kwenda tuljkuta tukpenda kiukwel na tatzo ni kwamba girlfriend wangu kanizidi...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Why you should care For Ladies, the width of your hips may play a crucial role in your decision to sleep with someone. That's according to scientists at the University of Leeds, who report that a...
7 Reactions
137 Replies
25K Views
Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati, muelewa, mwajiriwa wa serikali. Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu, awe at least Diploma level and above, awe mweupe kiasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekutana na hii wana JF nikaona bora niilete kwenu nipate nasaha. Kuna mdada mmoja nilikua nafahamiana naye kitambo about 8 years ago, aliwahi kuzaa akiwa mdogo(18years) Wiki iliyopita...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wapo wengi sana. Hasa hawa wabeijingi, Wenye vidato vyao. Ni material kweli maana wanapenda kuona tu vinavyoelea. Wanapenda kupendwa tu na hawapendi kusemwa. Ni wagumu kujishusha na wepesi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau tuelimishane katika hili
1 Reactions
80 Replies
13K Views
Juzi katika pita pita zangu nikakuta binti anamjibu mama mtu mzima eti anasema na yeye ni mtu mzima ana haki ya kulala guest kama mwanamke yeyote. Nikasimama kwanza nimwone binti, jamani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Embu tupeane ushauri jamani. Ndoa nyingi zinateswa na haya mapepo ya spiritual husband wife. Embu tumrudie Mungu atuokoe kama ujaoa ama olewa sali sana. Mkiwa nje huyaoni ukioa ama kuolewa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''. 2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari wakuu natumaini hamjambo na ni wazima wote, huyu mwanamke siku nyingi ananisumbua nakumbuka mara ya kwanza tulikutanae supermarket, kwa muonekano alikuwa mrefu shingo kama ya twiga, mnene...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Nilisikiza kipindi cha asubuhi magazetini kwa ufupi magic fm, kuna kibabu cha miaka 70 huko songea kimempiga kwa mchi kichwani mkewe wa miaka 60 mpaka kifo kwa kunyimwa unyumba. Inaonekana huyo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu tuite ni Msimu wa Ndoa siyo! Ingia sehemu zenye mikusanyiko ya watu, ni vikao vya harusi tu! Hapa nilipo naona kuna vikao sita! Na vyoote ni vya harusi. Hongereni mnaooa na kuolewa, mnakuza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom