Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
fine_black_woman.jpg



Why are the beautiful ladies still single... And the ones not too beautiful are getting married.

Just asking?
 
nani anataka kulete balaa ndani? maringo kibao na ole wako uishiwe atagawa papuch mpaka chumbani kwako
 
Single either by choice or by circumstances-internal/external environment
 
Tunachanganyikiwa tuache yupi tuolewe na yupi kati ya hao wanaotuhitaji
 
Labda wana ji overate...kila mwanaume anayewatokea wanaona ni wa lower status kwao...wanasubiri wa status yao au ya juu zaidi yao...

Si unajua zile za 'yani niolewe na huyu...bora nizeekee home'...'na uzuri huu yani nimilikiwe na hiki ki Hamis...hell no...nasubiri mwanaume wa maana'....kibaya zaidi badala habanie papuchi anagawa hata kwa hao lower class...hapo ndio wanatengeneza CV mbaya...

sa kibaya wale ambao ni target yao nao wana taste zao za wife na wewe haumo kwenye vigezo vyao...

na kibaya ukute anashindwa kuwa 'expensive' anakuwa na multiple partners huku wote anawaona hawana vigezo, sasa hata yule wa quality yake hawezi kuji commit anakuwa amesha mpa label mbaya...sana sana na yeye atapiga afu ateleze...

Ni wanaume wachache wanaweza kujicomit kwa msichana ambaye ana list ya wanaume waliompitia kila alipopita...vyuoni, kazini, mtaani...na wazuri wengi (si wote) wana hii CV...

Mimi napenda sana kuangalia Bella Naija wedding...yani utadhani nataka kuoelwa mara ya pili...nasoma love story za watu...naona wanao propose na ma BMW X6 na wanaowaoa utashangaa ni wa kawaida si Kim K type...unajiuliza huyu mwanaume na miela hii si angeoa mwanamke yeyote tena mzuri kama malaika...lakini story wanazo share zinasaidia kujua what men are looking for wakitafuta mke wa kusihi nae, mama wa watoto wake...
 
wanachagua sana, wanasubiri wanaume wenye magorofa na bmw wajitokeze ndio maana wanachelewa kuolewa.
 
Hivi hili neno single kwa hapa bongo tunamaanisha nini..!.mbona hao wazuri mnaowataja ndo wanaongoza kuwa na mabwana wengi.,
 
Wengi wakufanya nn??nmesema wanaotuhitaji ni wengi sasa unakuwa unajipa hope kuwa time yoyote utaolewa.Sio wengi kwa maana kungonoka.

I meant wengi wanaotaka kukuoa...kungonoka itakuwa mm tu peke yangu
 
Umenikumbusha wimbo wa Lucky dude Zinduna unaitwa its not easy moja ya bridge zake wanasema.... "Beautiful Woman is another mans plaything"

Wengine wameletwa hapa duniani waje watoe tu burudani na sio kuolewa!!Period
 
Last edited by a moderator:
Hao wazuri kwa nje wanasema ni wa majaribio tu...

Na kibaya hata kama mtu hakufahamu akikuona mzuri sana ana conclude lazima una multiple partners;
Kwa hiyo wana kazi ya ziada ya ku prove watu wrong...

Kuna mdada nimekua nae alikuwa ni yule 'lazima ugeuke'... regardeless ya jinsia yako

Lakini she was extremely expensive...mpaka wanaume wenyewe walishaambiana; alikuwa hasumbuliwi kabisa maana wanajua chance ya kukubaliwa ni 0.00001...na alikuwa kichwa sana...

She got married 'at a right time, with a right man...'

sifa mbaya zinazagaa haraka sana...men do kiss and tell

Uzuri wa mwanamke unaanzia ndani...sio nje...wengi wazuri kwa nje wameoza kwa ndani...tabia mbovu ajabu...
 
Kuna mmoja wanaume walichafua CV yake pona yake aliolewa na mwanaume toka nchi jirani....

Wanaume wana shukrrani?...utapewa majina yote..mama huruma, jamvi la wageni, etc...na mtu anakutaka unasema nina bahati ya kupendwa; kumbe ni sababu kaambiwa na wenzake hukatai mtu...

Wengine watasimuliana hata miguno yako...te te te..nashukuru sikuwahi mpa mtu papuchi college zaidi ya mume wangu...nani anataka kuwa topic ya discussion vijiweni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom