Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jf mko safi, Nipo kwenye hatua za kuwa na mwenza wangu wa maisha kwa shida na raha.Naomba binti mwenye sifa zifuatazo anipm.Asiwe mrefu wala mfupi, asiwe mnene wala mwembamba, asiwe askari wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ntumai mu wazima wa afya wana jf, mimi namshukuru Mungu niko safi. Ni kwa muda sasa nimekuwa sionekani kuchangia mada yoyote katika jukwaa lolote, ni kutokana na majukumu ya hapa na pale. Ndugu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,nimerudi tene kwa ajili ya kutafuta mchumba/mke baada ya mwaka jana kuja hapa na kuweka post ya kutafuta mke nilipata kuwasiliana na wasichana wawili ila hatukufikia popote coz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wale ndugu zanguni mlio nje ya tanzania..naomba muwe makini sana wakati mkiwaacha wake zenu ama gfriend ama wachumba inavyojulikana kuna jiran yangu hapa mbezi kwa kweli mumewe akifika anakuwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
NDUGU YANGU UKIONA HALI KAMA HII JIPANGE. 1.watoto kumwambia mama yao asilimia 90% ya matatizo yao hata kama amesafiri wakati wewe baba upo nyumbani. 2.ulipotoka kutafuta mkate umewakuta...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana jamii nimekuwa na binti mmoja kwenye mahusiano takribani miezi tano ila nimeshindwa jinsi ya kuomba ile 'kitu'a.k.a papuchii kwani mtu huwaza namna gani kuomba ama hizo story..kwani kila...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
UJUMBE KWA WAKE (WIVES) NA WOTE MNAOCHUMBIWA Wewe Mrs, au Mrs Mtarajiwa, SIKILIZA mama: Kila unapokwenda mahali ambapo Wanaume wanaonesha kukupenda, au tayari unajua kama wanaume wanakupenda...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Awe na vigezo hivi mrefu, maji ya kunde na awe ameokoka
1 Reactions
8 Replies
1K Views
awe mnene itakua nzuri zaid so mwenye dada au ndugu wa ivo anikonect
0 Reactions
30 Replies
4K Views
natumaini mko salama wana JF wandugu naomba ushauri wenu kwasababu hapa nilipo nimechanganyikiwa, siku ya jnne baba mkwe wangu aliondoka kwake kwenda kwenye mishe zake muda Wa asubui...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita...
2 Reactions
222 Replies
35K Views
Habari wanajamvi. Mimi nina matatizo kama mawili yananitatiza nashindwa kuacha. Tatizo la kwanza, nina usingizi kupita kiasi yaani nawahi kulala ila nachelewa kuamka na hata nikienda darasani...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nashindwa kuelewa kitu gani huwa kinatokea mpaka mambo na mitazamo ya watu kubadilika ghafla. Tukiwa wadogo katika umri wa kubalehe, kama vijana wa kiume tulikuwa na ndoto kila mmoja ya kuoa...
7 Reactions
121 Replies
15K Views
Am a foreigner,looking for a girl just for friends.there are benefits.just pm me for more.
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo...
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume. Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na...
2 Reactions
79 Replies
10K Views
Kila mara wanawake wamekuwa wakilaumu na kuwaona kama wanaume siyo watu kutokana na tabia mbalimbali zinazojitokeza katika mahusin na maisha ya kawaida. Mwanaume amekuwa akiongelewa vibaya kila...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana Jamvi. Wanaume walio wengi wanamatatizo juu ya kuutawala mwili wa mwanamke, wanawake wa siku hizi anakupangia zamu ya kuuzulia penzi, sio kwamba mnakuwa labda mmegombana au kuna utofauti...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Rafiki yangu anamke mwenye miaka 25, Mke wake ameishia darasa la 7 kutokana nakukosa mtu wakumsomesha elimu ya sekondari+kumuendeleza kiujumla. Jamaa amejitoa anataka kumwendeleza mke wake awe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenzetu anaomba ushauri. Tatizo langu ambae sijui nifanyeje, kwa kweli ina husu ndoa yangu. Kwa ufupi, nina mume wangu ambae nisha zaa nae mtoto moja wakike na nina mwingine njiani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom