Natafuta mchumba/mke

Natafuta mchumba/mke

Blaza Musa

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
28
Reaction score
5
Habari wanajamvi,nimerudi tene kwa ajili ya kutafuta mchumba/mke baada ya mwaka jana kuja hapa na kuweka post ya kutafuta mke nilipata kuwasiliana na wasichana wawili ila hatukufikia popote coz ilionesha hawakuwa serious.
Nimerudi tena maana naamini hapa nitapata
Vigezo awe:-
umri asizidi miaka 30
mkristo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom