Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mwanamke ni jambo la faraja kupata mtoto baada ya kuolewa, lakini kupata mtoto kunaambatana na mabadiliko ya mwili kwa mwanamk. Ni wanawake wachche sana wanaobaki na miili yao mara baada ya...
12 Reactions
65 Replies
13K Views
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37,natafuta girlfriend ambaye atakua mchumba na baadaye mke wa ndoa,awe na umri kati ya 26-35 asiwe kibonge wala mfupi saana,mkristo lakini kabila na rangi wala...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumekuwa katika mahusiano kwa muda lakini hatujafnya tendo zaidi sana ya kutoka out,kujuliana hali na kuwasiliana. Sasa yeye msimamowake kuwa hataki tendo mpaka tufunge ndoa. Cha ajabu ni kuwa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Yaani imekuwa shida sasa mpaka najilaumu kwanini mke wangu niliamua kumnunulia smart phone. Takriban miezi mitatu imepita toka nimnunulie simu aina smart kwa nia njema tu kutokana na kazi ya...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
0 Reactions
33 Replies
15K Views
Japo nı muda mrefu umepita lakini nimeoma nishee nanyi mkasa huu. Jirani yetu ambaye alikuwa na watoto watano wakike watatu na wakiume wawili. Hata hivyo baba akawa na uhusiano mbovu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa alikuwa na demu wake mfanyabiasha ndogondogo. Katika mahusiano yao binti akapata mimba, jamaa kupewa taarifa na demu kakataa katakata kuwa sio yeye kisababishi na kumwambia amtafte...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii imenikuta mimi peke yangu. Labda kama mtoto wa kiume uliokoka tangia ukiwa na miaka kuanzia 14 ndipo unaweza kuwa hukupitia masuala ya mahusiano. Kutongoza kwa kuongea, kuandika barua simu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tangu nimekuwa nimeona mengi na kujifunza yaliyo mema na mabaya.lakini swala la mapenzi limekuwa likinitatIza sana kwani ni hali ambayo haina tafsiri sahihi. Watu wamekuwa...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari zenu, Mimi nataka kutoa talaka kwa mke wangu kutokana na sababu ambazo sitazitaja hapa, ila point ni kwamba ninataka kutoa talaka. Nimewahi kufanya jaribio hilo nikashindwa na kumrudisha...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe, nilivokuwa chuo second year na third year nilikuwa na rafiki yangu wa kike. Na to be honest nasema ule ukweli hakuwa mpenzi wangu ila alikuwa company yangu...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Let us share from different morals. Huwa kama utani ila mwisho huwa ina mafundisho Leta na yako tujifunze pamoja maana zipo nyingi na zina mafundisho tofauti DEATH came to a guy and said, " My...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa watumiaji wa whatsapp nadhani watakuwa wameshawahi kuisikiliza hii audio ya huyu pastor(am not sure if he is a pastor). Katika hii audio anaelezea kwamba number one need of a male(not a man...
0 Reactions
180 Replies
16K Views
Wapendwa wangu habari za siku nyingi. Nimekutana na hili andiko sehemu nikaona tushirikishane. Nadhani itakuwa vizuri sana kama kila mtu atajisomea mwenyewe na kujielewesha kwa kadiri...
1 Reactions
89 Replies
53K Views
Habari wandugu. Itakumbukwa siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri baada ya kutoswa na mwanamke ambaye tulishafikia sehemu nzuri katika mahusiano yetu. Kwanza napenda kutumia nafasi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Mhindi aliyefahamika kwa jina la Abdulla Punathil Usman amepatikana akiwa mgonjwa hospitalini, nchini Dubai. Usman hakuwa na mawasiliano na familia yake na wala hawakuwa na habari zake tokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wa jf heshima zenu. Natafuta mchumba ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.Awe ni binti mwenye heshima na upendo, awe na mwili kidogo, ila asiwe mfupi wala mrefu, asiwe askari wa jeshi lolote.Akiwa...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe. Tukio...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom