nyangwara
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 130
- 51
natumaini mko salama wana JF
wandugu naomba ushauri wenu kwasababu hapa nilipo nimechanganyikiwa, siku ya jnne baba mkwe wangu aliondoka kwake kwenda kwenye mishe zake muda Wa asubui lakini toka siku hy hajarudi nyumbani na simu yake haipatika, tumejitahidi kumtafuta lakini hatujafanikiwa(huyo babamkwe anaishi mwanza na amestaafu mwezi Wa saba) naombaeni mchango wenu Wa mawazo