Mke mwema

Mke mwema

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Jf mko safi,
Nipo kwenye hatua za kuwa na mwenza wangu wa maisha kwa shida na raha.Naomba binti mwenye sifa zifuatazo anipm.Asiwe mrefu wala mfupi, asiwe mnene wala mwembamba, asiwe askari wa jeshi lolote.Akiwa muslim atakuwa safi zaidi.
Nawasilisha
 
subiri pm ya sitti wa mtemvu....:becky:

ila sijui kama hajadanganya na jinsia kigoli yule...
 
Hii ni serious, kama haupo serious naomba usijaribu kuchezea akili za watu.Soma tu na kupita.Usije ukasema nikupm halafu hakuna reaction yeyote.Samahani zingatia hilo
 
Hii ni serious, kama haupo serious naomba usijaribu kuchezea akili za watu.Soma tu na kupita.Usije ukasema nikupm halafu hakuna reaction yeyote.Samahani zingatia hilo

Yu havu tu bi keafuli cozi wengne wanaume wataekti wanawake kwenye pm yako afu uje kutulalamikia apa kua wanawake wa jf ni shiida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom