natafuta mwanamke tasa awe concubine wangu

natafuta mwanamke tasa awe concubine wangu

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,241
awe mnene itakua nzuri zaid so mwenye dada au ndugu wa ivo anikonect
 
hawa hazina vipi mbona masaa yanazid kuyoyoma??????
 
Unaanza kumkejeli kabla haujampata...ukimpata atapata matusi mpaka aamue kujinyonga...
Hata hivyo miss tz wa mwaka huu yupo available kwani ni bibi bomba na amesema hajawahi kuwa na mtoto wala hatarajii
 
kila la heri! ni wengi ajabu,pia ni wazo jema sana maana kama tayari unawatoto wa kutosha/but tafuta awe mcha mungu/
 
Ungekuwa karibu yangu ningekupiga viboko vitano ukamwonyeshe mke wako una adabu .Wewe unambatiza mwanamke unamwita tasa!
 
Dah! hivi hakuna mwanamke shufwa ama witiri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom