Idadi ya wanawake yazidi kuongezeka nchini

Daudi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
15,838
Reaction score
26,244
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na mkurugenzi mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa.Idadi ya wanawake Tanzania Bara ni 23,058,933 na wanaume 21,869,990.Alisema Tanzania ina watu 44.9 milioni, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43.9 na Zanzibar milioni 1.3.

Alisema mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wengi ni Dar es Salaam ukiwa na watu milioni 4.3 pia ukifuatiwa na Mwanza wenye watu milioni 2.7.

Alisema watakuwa wakipita mkoa kwa mkoa kutoa matokeo hayo ya sensa kwa lengo la kumfikia kila mdau ili aweze kuzitumia takwimu kwa kupanga mipango yake binafsi.

SOSI: MWANANCHI

My take ndo maana wanaume wanaongoza kwa kuwa na michepuko ili kuwasitiri waliozidi hapo maana tukisema ratio iwe 1:1 wengine watakosa, ila sijahalalisha kwa wanaume kuwa na michepuko!
 
ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu
 
mmnhhh.!!
 
Aiseeee, umepasua jipu pwaaaaaaaa!
 
ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu

Kumbe we ni mwanamke. ......
 
Ni kweli...yaani wanawake wa Tanzania wanaringa sana ukimchumbia anakuzungusha zungusha ila kama vile unakata tama ndo anaibuka!! loooooh
 
Aiseee kwa hiyo ukimpata wako unatakiwa kumshikilia kama yai asidondike eeeh!Asante kwa tahadhari
 
Ni kweli...yaani wanawake wa Tanzania wanaringa sana ukimchumbia anakuzungusha zungusha ila kama vile unakata tama ndo anaibuka!! loooooh
Pole jenerali yaani pamoja na cheo chako wanakuzungusha hawaogopi
 
vya utamu vimezaliwa vingi vya utamu vimezaliwa vya utamu
 
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

Hayo yalibainishwa mjini hapa jana na mkurugenzi mkuu wa NBS, Dk Albina Chuwa.Idadi ya wanawake Tanzania Bara ni 23,058,933 na wanaume 21,869,990.Alisema Tanzania ina watu 44.9 milioni, Tanzania Bara ikiwa na watu milioni 43.9 na Zanzibar milioni 1.3.

Alisema mkoa unaoongoza kwa kuwa na watu wengi ni Dar es Salaam ukiwa na watu milioni 4.3 pia ukifuatiwa na Mwanza wenye watu milioni 2.7.

Alisema watakuwa wakipita mkoa kwa mkoa kutoa matokeo hayo ya sensa kwa lengo la kumfikia kila mdau ili aweze kuzitumia takwimu kwa kupanga mipango yake binafsi.

SOSI: MWANANCHI

My take ndo maana wanaume wanaongoza kwa kuwa na michepuko ili kuwasitiri waliozidi hapo maana tukisema ratio iwe 1:1 wengine watakosa, ila sijahalalisha kwa wanaume kuwa na michepuko!

duh,tutaendelea kufaudu
 
Hii siyo ngeni hata Biblia ilishasema haya:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Isaya[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
ndo maana mm huwa naongea ukweli sisi wanawake tunajishaua tu ooo sitaki kuolewa oo sitak sijui nini maringo kibaoo,huku rohon tunapumulia machine unataman mwanaume gani akuoe ,jaman wanaume sasa hivi hakuna kabisa tubadilike jaman acheni maigizo mnadanganyika na mind mbovu takwimu hiyo hapo sasa mtaishia kukojoleshwa tu

Nimekupenda bure kwa kauli yako ila tatizo upeo wa wadada wengi wa kibongo sijui upo chini au tatizo ni nini maana still ndio kwanza wanazidisha maringo ninahisi mpaka tuwe kama Zimbabwe, Botswana au Russia ndio akili zao zitaanza kukaa sawa maana huko ratio yao inakaribia mwanaume vs mwanamke ni 1:8
 
Hapo tu ndo utakapojua kwanini mungu wa kweli alihalalisha mwanaume kuoa mke zaidi ya m1(Mwisho wanne)! Sasa madhara ya kupuuza ndo haya ya vilio kila siku hatimae kila kukicha above 30 wanaongezeka!
 
Back
Top Bottom