Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Halleluya........bwana atakupa haja ya moyo wako..........
 
Ok!umeeleweka vizur,ujasema na wewe muonekano wako ukoje ili watu waangalie vigezo vyao na wao!!!
 
unamuhitaji mwenye umri gani
wa kike au wa kiume
 
Tatizo watu wa aina yako utakuta yeye mwenyewe ni Mchafu wa tabia, rangi yake fake, makalio yake fake, nywele zako fake, nyusi zako fake, kila ulichonacho ni fake halafu unataka mchumba aliyeokoka, huwezi kumpata. Watu natural wanoana wao kwa wao. Kwa hiyo hata wewe subiri utampata fake mwenzako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom