Elimu ipi inahitajika kwa mke huyu.

Elimu ipi inahitajika kwa mke huyu.

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Rafiki yangu anamke mwenye miaka 25,
Mke wake ameishia darasa la 7 kutokana nakukosa mtu wakumsomesha elimu ya sekondari+kumuendeleza kiujumla.
Jamaa amejitoa anataka kumwendeleza mke wake awe wakisasa(kujua ulimwengu unavyoenda),aweze kujua computer+matumizi yake katika maisha yake,aweze kuongea nakuandika lugha ya kingereza kwa ufasaha(ukizingatia ndio lugha inayo'run' ulimwengu') na awe na uelewa wakuendeleza biashara atakayomfungulia kwa mtazamo wa mbele zaidi(biashara kama mgahawa wa chakula,kupamba,kupamba+kupika keki)!
Sasa anahitaji ushauri wa wapi aanzie,na kipi kifuatie na sehemu zipi zinatoa ujuzi huo kwa ufasaha +mbinu nzuri ili asije akapoteza fedha.
NB:-Ushauri ndio unahitajika sio majungu+utani utani.
KARIBUNI TUMSAIDIE NDUGU YETU KIMAWAZO.
 
Inategemea yupo mkoa gani mkuu ili uweze kusaidiwa hicho ulichoongea na watu waweze kukutajia eneo husika
 
Asome elimu ya watu wazima 4m4 kwa miaka miwili ambayo itakuwa base ya kufanya mengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom