Wakubwa naomba ushauri,kuhusu rafiki yangu mmoja tulisoma wote o level, kipndi kile alikuwa na mpenzi wake na walipendana sana yaani, na yeye ndiye aliyemtoa bikra ila baada ya muda wakaachana na...
Za siku nyingi wapendwa?
Nadhan baadhi yenu mnakumbuka nilileta uzi humu kuwa nina ujauzito na jamaa haeleweki nyumbani ndo hivyo tena.
Namshukuru Mungu ujauzito wangu wa miez 6 unaendelea...
Sasa Sharia haitamlinda Mbakaji Afghanistan... sana endelea....
Afghan mullah who raped girl in mosque sentenced to 20 years
Until the Elimination of Violence Against Women law was passed in...
Hello memberz,
Naomba kuuliza, baada ya mama kujifungua anatakiwa kufanya nini na ni wakati gani anaweza kukutana kimwili tena na mumewe. Wakunga asanteni.
Habari zenu waungwana.
Sina shaka kwa uweza wa manani wengi wetu kama si wote-tunayo siha ya kutosha jioni hii.
Ashukuriwe mwenyezi Mungu.
Wapendwa wanajamvi;
Naomba tutanguliwe na busara na...
Ni katika ukumbi wa Mapenzi na hoja mchanganyiko au vipi wadau ? kaazi na dawa :D
Ni tofauti kabisa ,wakati wa makutano utamsikia mwanamke akihimiza umguse sehemu fulani tofauti na sehemu...
Naitwa baba Zai wa Buguruni Dar, nimeoa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na mke wangu kuwa anafanya kazi, tulilazimika kutafuta mfanyakazi wa ndani.
Mke wangu amekuwa akirudi kutoka...
Habari wana JF
Ni karibu miaka mitatu sasa tangu kuanza mahusiano na mchumba wangu lkn mpaka sasa amekataa katakata kunipeleka kwao ili nikajitambulishe na kuweka wazi lengo letu katika...
KAZI sana! Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya...
Naombeni kuuliza, hivi kuna maana yeyote ya kumpigia simu demu wako wa zamani ukiwa na mpenzi wako wa sasa eti kuthibitisha kua mmeachana na huyo demu wako wa zamani kwa demu wako mpya.
Wewe...
Wana jf, miezi kama mitano iliyopita nilikuwa katika hali ambayo naweza kusema ni upuuzi na ulimbukeni wa maisha, nilikuwa mtu wa kujirusha sana, matanuzi ya kufa mtu, matumizi ya kijinga yasio na...
Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elimu yangu ni Diploma, mimi ni mkristo, ninatafuta mchumba wa kike, sura ya kawaida, mkristo, elimuyoyote, umri asizidi miaka 26, tuwasiliane kupitia 0763175935
Mpende na umheshimu mtu anayekuamini ukiwa mbali naye,uko mbali ila anakuamini hana wasiwasi,hata mkiwa kwenye ndoa akienda kumalizia kozi unamwamini.
Wanaoojidai hawawezi distance relationship...
Nakumbuka nikiwa mdogo sikuwai kumsikia mama akimkashifu baba hata siku moja, hata wakati mwingine mzee alikua akirudi chakari amelewa lakini heshima yake ilikua palepale haijawai kushuka. Na wala...
mimi sina kitu kwa sasa ila napambana na maisha, natafuta rafiki wa kike ambaye nitakuwa naye bega kwa bega katika kushirikiana naye katika kutafuta na ikiwezekana muda ukifika basi tunaweza...
Sasa Sharia haitamlinda Mbakaji Afghanistan... sana endelea....
Afghan mullah who raped girl in mosque sentenced to 20 years
Until the Elimination of Violence Against Women law was passed in...
Sasa Sharia haitamlinda Mbakaji Afghanistan... sana endelea....
Afghan mullah who raped girl in mosque sentenced to 20 yearsUntil the Elimination of Violence Against Women law was passed in...
Kuna msemo maarufu usemao "NI RAHISI KUPATA KAZI UKIWA NA KAZI" kwani unapoenda kwenye hojaji unakuwa hauna papara wala wasiwasi wowote...unatiririka bila hofu na kujikuta umepata kazi nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.