Wababa mlio nje ;watch out mnaliwa ma binti zenu DAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wababa mlio nje ;watch out mnaliwa ma binti zenu DAR

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sijafulia, May 15, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wale ndugu zanguni mlio nje ya tanzania..naomba muwe makini sana wakati mkiwaacha
  wake zenu ama gfriend ama wachumba inavyojulikana
  kuna jiran yangu hapa mbezi kwa kweli mumewe akifika anakuwa kama kama malaika
  alietoka kwenye sinagogi..lakini ukweli akiondoka jaman dada huyu ana mijamaa yake
  kawampanga kwa wiki....mpaka majuzi mmoja akachapa lapa baada ya kuona mwanaume
  mwenzake anaendesha gari la hawara yake akalianzisha ni dada ndie alierekebisha pale mwenge...tatizo huyu binti akipata mzigo anakabidhi na gari kila kitu

  sasa akiwaapanga wanajiuliza mbona gari nilioendesha huyu nani tena mnabaki kujiuliza na ufataki wenu wanaume nyie

  kwa kweli nawaasa mwomben sana mungu mkiwa huko,....huku wanawake zenu ni mitalimbo
  wengi na wengine ..mmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
  mkifika anakulaki na maua mengi pale DIA kama umelazwa KINONDONI CEMENTRY

  ukiondoka hatari tupu!!!!1

  EE mungu tujalie
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mmh haya weee
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .......Mhhh kuna wanaJF humu wananiacha hoi kwa topics zao kuna yule Pdidy, mama mia,mwanahalisi, sweetbaby na huyu sijafulia sijui hata huwa wanapata wapi hizi habari. Mie hizi habari zao huwa zinanifurahisha kwa kweli. Keep it up guys.
   
 4. s

  sijafulia Member

  #4
  May 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  numsouye!!!!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  bora wewe useme, mimi nilisema nikaambiwa nipewe ban
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  SURELY jf JUKWAA LA MAHUSIANO LIMEPATA VIRUS!!! TENA HATA KASPERSKY [THE ROBOT] ANA KAZI YA KUONDOA

  kwanini tunagereralize kila kitu?
   
 7. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,815
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  mmmh,ahsante nashukuru sikuacha kitu,nawasikitikia sana jamaa loh:rofl:
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Wera weraa!..Kweli hujafulia kwa habari kama hizi!..mimi hoi huo mstari huu "mkifika anakulaki na maua mengi pale DIA kama umelazwa KINONDONI CEMENTRY"..
   
 9. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kama anamegwa ila ukirudi anakuwa kama malaika tatizo liko wapi? Unajuaje huyo jamaa huko aliko kwani yeye hamegi vicheche vya huko? Tena usikute kaoa kabisa, na anaweza kuibuka Bongo siku moja kaongoza na mke na watoto mapacha!
   
 10. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ukweli lazima usemwe, jamaa huko aliko anakula ngumu, kufurahisha mwana Bongo, kumbe afurahisha hata makalameni, Jamani huu si Ungwana hata kidogo!!!!!!
   
 11. a

  arasululu Senior Member

  #11
  May 18, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebwana hata ukiwa naye hapa hapa bongo atatusuliwa tu kama niwakutusuliwaga hamna cha niaje wala nini!! magashi wana matatizo sana hata umkune vp atatamani tu ya juma:target:
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  May 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Siku hizi hata sijui tusemeje maana naona hata ile kauli ya Umalaya ni hulka ya mtu inamezwa sasa!!. Kweli Tanzania Bila UKIMWI haiwezekani kama ilivyongumu kwa maisha bora kwa kila mtanzania tumebaki na Bora maisha kwa baadhi ya watanzania.
   
 13. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Sasa nimeamini Wabongo wengi wanapenda stori za umbea umbea fulani
   
 14. T

  Tall JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.UKIENDA NJE FANYA JUU CHINI MWITE NA MWENZIO AJE,HAPA DAR UNAMWACHIA NANI?
  2.MKUU UNAWAJULISHA NINI WAKATI NAO HUKO NJE WANAIBA NA KUBADILISHA? HAPO MECHI NI DROO.
  3.ADAM ALIMWACHA HAWA KWA MUDA MCHACHE TU PALE BUSTANINI,EDEN,ALIPORUDI TAYARI HAWA ALISHATENDA KOSA,NA KAMA SHETANI YULE ALIEMDANGANYA HAWA ANGEKUWA JINI MAHABA NADHANI ANGEPEWA KILAKITU NA HAWA.USIMWACHE MPENZI WAKO AWE MBALI NAWE......................mmmmmmh duu kuna kitu nimekumbuka,unasema mbezi?mungu wangu! asije akawa shemeji yangu huyo,mke wa kaka yangu kabisa anaeishi nje ya nchi.MBEZI IPI HIYO?
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo unaruhusu wako atusuliwe?
   
 16. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #16
  May 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Taito haiendani na maudhui..
   
 17. g

  gutierez JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  sasa unadhani utafanya nini ndugu sijafulia?huwezi kumchunga 24 hrs,mana ukifanya hivyo utaacha kufanya mambo yako mengine ya mana ktk maisha yako,ndivyo dunia ilivyo sio bongo tu,wanawake/wanaume wote ni vigumu kumpata mwaminifu asilimia 100%,ukiendekeza sana utapata stress/bp na shell wangu,suala hilo ni nyinyi wenyewe mkiwa kama watu wazima wenye akili timamu na kujua wajibu wenu mtaheshimiana,kama kweli unampenda basi utamlinda!
   
 18. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #18
  Oct 26, 2014
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  mm sioni tatizo
  Bibie akibanduliwa ndio anapata Experience ya mitalimbo
  na baba naye huko majuu akakague injini za kizungu
  Mtoto kama kalelewa kushikilia mitwangi hata uwe naye ndani ya fence utashangaa ShambaBoy
   
 19. VAN HEIST

  VAN HEIST JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2014
  Joined: Aug 26, 2014
  Messages: 1,435
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  aisee hapa ndo umenimiksi kweli!!!! na hicho kichwa cha habari ndio kabisaaa.. huko unazungumzia mabinti ndani ya story umetaja wake/wapenzi..
   
 20. angelita

  angelita JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2014
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 2,980
  Likes Received: 1,385
  Trophy Points: 280
  Acha umbeya hayakuhusu.
   
Loading...